Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Kasome sheria namba 15 ya fifa ambayo inahusu urushaji wa mpira, halafu uje tena kubwatuka...
mkuu mimi sihitaji kusoma, wewe kasome utakuta wanasema kushindwa kurusha mpira miguu miwili ikiwa chini, kwa mikono miwili tokea nyuma, kugusa ndani ya uwanja. hakuna sehemu wamesema kurushia sehemu isiyo sahihi basi haki inyang'anywe.

pia sheria inasema kuna baadhi ya sheria hutoa nafasi ya 2 kwa mrushaji

hapa ungezungumza sheria za caf sio fifa
 
Huyo zaidi ya mahaba Hana analolijua Nkana wenyewe hawajalalamika kuhusu mwamuzi na interview zao zote
Huyu anajifanya ana uchungu na team Kama ndio kessy mwenyewe
ivi zile kadi za njano mwishoni zilitolewa kwa sababu gani?
 
Kutohitaji kwako kusoma ndio kunakufanya uzidi kuwa zwazwa!
Wewe huna lolote unalolijua zaidi ya kukariri tu hiyo mistari mitatu minne!

Tafsiri ya hiyo sentensi ya mwisho kwenye hiyo sheria unaielewa?
...
 
Wacheni uzushi Yanga haikuwahi kucheza makundi ya Champions league katika miaka ya karibuni
Mara ya kwanza na ya mwisho ilikuwa 1998 na kila mtu anajua kilichotokea. Kufungwa goli 6 bila na Raja Casablanca ikiwa ni rekodi ya kufungwa goli nyingi kwa timu yeyote ya Tanzania.
 
Walipenya ngome ya simba halafu ikawaje? Maana kupenya hata wewe unaweza ingia uwanjani ukapenya. Suala ni kufunga. Ball possesion umeiona? Shots on target umeziona? Simba jana wameshinda sababu uwezo wao ni mkubwa.

Unayelalamika refa ni wewe usiyeufaham mpira coach wa nkana alikubali na kuwapongeza simba.mswahili mmoja ambaye hajawah cheza hata ligi. Daraja la nne analalamika refa.hii inatokea tanzania tu.

Nkana hajawa na historia ya kumfunga simba taifa. Kama ambavyo simba haijawa na historia ya kumfunga nkana zambia.nyie msiofaham mpira haya hamjasimuliwa?

Nkana walishindwa kuipiga simba bao nyingi kule kwao tayari wakawa wameshndwa na ndo maana simba ilifurahia lile bao moja yanga wakaanza kushangaa inakuaje mnafungwa 2-1 mnashangilia.kumbe simba walishajua jamaa wakija huku watapata kipigo.

Na walichokosea nkana ni kufunga lile bao la kwanza.ni kama waliliamsha dude.heri wangetafuta sare.walipofunga lile bao ndo wakaharibu na kuwatia hasira simba.

Mmmh. Uwezo gani wakati dkk za mwisho washambuliaji wa Nkana walipenya ngome yenu watakavyo. Bahati ile bana.
 
Uliwahi kuona wapi referee anafokewa Kama mtoto?
Mmezoea kupiga MA referee vichwa Kama tupo uwanja WA tandika mabatini
kwa nini alifokewa mkuu, mbona wakimbilia kwenye matokeo unakwepa mchakato (process).

kufokewa kwake kunatokana na upendeleo wa wazi alio onesha, hana tofauti na mac dean akiwa anachezesha mechi ya totern
 
Kwa hiyo ukimfokea refa inabadilisha matokeo. Angalia vizuri goli la kwanza la Nkana .Ukitokea offside position halafu ufunge sheria inasemaje?
 
kwa nini alifokewa mkuu, mbona wakimbilia kwenye matokeo unakwepa mchakato (process).

kufokewa kwake kunatokana na upendeleo wa wazi alio onesha, hana tofauti na mac dean akiwa anachezesha mechi ya totern
Kwahiyo mwamuzi akifanya Kosa ndio ukamfokee mwamuzi Kuna namna ya kuongea nae Kuna captain kazi yake ni nini wewe
Mmezoea kupiga MA referee vichwa nyinyi ndio maana nakwambia Mpira mchezo wa nidhamu
Nyie tabia yenu kupiga piga Watu tokea Enzi zenu Za kina mwasyika
Yanga na professional wapi na wapi
 
Sheria za CAF sio zile zile sheria 17 za mpira wa miguu?. Au Una maana kanuni za mashindano?
Sheria za mpira 17 ni kwa dunia nzima.
iweke namna utakavyo poa naomba kanuni za caf kuhusu urushaji wa mpira.
 
Mpira wa miguu duniani unasimamiwa na sheria za fifa, hizo za caf ungezileta wewe ili hoja yako iwe na mashiko!...
hakuna asiye jua ilo, ila fifa wameacha nafasi kwa vyama kuweka kanuni pia za uendeshaji

ndo maana baadhi ya sehemu mtu anapewa nafasi ya 2 kurusha pale makosa yanapotokea.

kwani ile kuanzisha mpira kinyemela bila ruhusa ya refa ipo kwenye kanuni za FIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…