Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Huyo zaidi ya mahaba Hana analolijua Nkana wenyewe hawajalalamika kuhusu mwamuzi na interview zao zoteKasome sheria namba 15 ya fifa ambayo inahusu urushaji wa mpira, halafu uje tena kubwatuka...
Huyu anajifanya ana uchungu na team Kama ndio kessy mwenyewe