Mwaka huu mtaomba sana.
Kwanza mliomba
Mbabane-out
Nkana-out
Kwanini usiombe mtokane na ukata na ujinga uliokithiri.
Jana kuna kiongozi wa matawi kutoka Zanzibar "amewalaani "wenye kupinga uchaguzi wenu.
Wewe uko kundi lipi?Isije ikawa upo kwenye kundi "lililolaaniwa"?
Mna matatizo kila kukicha lakini mpo obsessed na Simba.
Kama sio laana sijui ni nini?
wewe unaye jua mpira nambie dakika zinazo fidiwa ni zipi?
kama nkana walikubali kwa nini walimzonga refa (au kumzonga ndo tafsiri ya kukubali)
ulitaka wafanye nini zaidi ya kumlalamikia refa ujue hawajaridhika na maamuzi (zile kadi zilikuwa za kosa gani)

we wajua stori za mtanange tuNkana wam
Mkuu ungeficha tu aibu ya kuwa timu ya kwanza na ya pekee kutoka Tanzania kufungwa goli 6 na Raja Casablanca ya Morocco. Katika mashindano ya klabu bingwa CAF hakuna klabu nyingine kutoka Tanzania iliyowahi kuvunja hiyo rekodi yenu ya kufungwa 6.We jamaa mbona una kosa akili hivi kwanini lakini?
1998 CAF Champions League group stage - Wikipedia
ataziongeza vp ikiwa alisha weka mbeleko yake ana alichokitaka kishapatikanaBado unaamini dkk zinazocheleweshwa kwa namna ile ya kukosea kurusha au kipa kujiangusha na kulala na mpira (pasipo kuumizwa) zinafidiwa na refa? Basi kumbe tatizo ulilo nalo ni kubwa kuliko nlivyodhania.
Oohh, kumbe mmewahi 1969 na 1970. That was it!
ataziongeza vp ikiwa alisha weka mbeleko yake ana alichokitaka kishapatikana
unataka kunambia ile faulo iliyo anzishwa bila ya filimbi ilikuwa ni sahihi

zipompa wewe huichukii simba kama mimi ninavyoichukia. Lakini kwa jana tuseme tu ukweli mtani wetu alicheza na chama ni bonge la mchezaji. Hakukuwa na kosa lolote la mwamuzi. Tujipange tu na sisi yanga tuacheni ushabiki maandazi na kujidhalilisha. Simba mpira wa uwanjani ni wazuri sana.
Nmekusoma sana na yule demu sheedaye acheni mtatufanya yanga wote tuonekane vilaza.sikutaka simba washinde lakini jamaa wameshinda tena bila kokoro.chama kuna siku tutamsajili yanga.ni bonge la player
Jana MNYAMA kashinda. Tusitoane kwenye reli. Tuko karne ya 21 wewe uko bize na records za karne ya ishirini.One thing about me huwa sisemi kitu fulani hakijawahi kufanyika bila kufanya utafiti. Kwasababu huwa najisikia fedheha sana kupotosha watu na inanishushia hadhi brain yangu.
Sasa niambie umejisikiaje uliponiita Mbumbumbu (ambalo kimsingi mna hati miliki ya hilo jina) halafu unakuja gundua ni kweli mwaka 1998 Yanga ilitinga hatua ya makundi ya klabu bingwa?! Sasa umeamini sisemi kitu kwa kubahatisha? Nikikuita Mbumbumbu maana yake nimefanya utafiti wa kutosha na umestahili hilo jina.
ko nkana walilalamika wasicho kijua, zile kadi zilikua za nini?,
kwamba ni ruhusa mpira kuanzishwa kabla watu hawajajipanga wala kupigwa kwa filimbi ya ruhusa.
ficha ujingea wako wewe ni kilaza
Mkuu heshima kwako kwa kusema ukweli ingawa mchungu.zipompa wewe huichukii simba kama mimi ninavyoichukia. Lakini kwa jana tuseme tu ukweli mtani wetu alicheza na chama ni bonge la mchezaji. Hakukuwa na kosa lolote la mwamuzi. Tujipange tu na sisi yanga tuacheni ushabiki maandazi na kujidhalilisha. Simba mpira wa uwanjani ni wazuri sana.
Nmekusoma sana na yule demu sheedaye acheni mtatufanya yanga wote tuonekane vilaza.sikutaka simba washinde lakini jamaa wameshinda tena bila kokoro.chama kuna siku tutamsajili yanga.ni bonge la player
we wajua stori za mtanange tu
hujui hata dk zinazofidiwa ni zipi
peter weweru kakuma aliwaokoa jana
We jamaa kiazi sana. Timu iliyochezewa faulo inapewa advantage ya kuanza quick free kick au kawaida. Slow thinking Nkana na quick thinking ya Simba isiwe mchawi. Tatizo lako ni exposure!ko nkana walilalamika wasicho kijua, zile kadi zilikua za nini?,
kwamba ni ruhusa mpira kuanzishwa kabla watu hawajajipanga wala kupigwa kwa filimbi ya ruhusa.
ficha ujinga wako wewe ni kilaza
Mkuu heshima kwako kwa kusema ukweli ingawa mchungu.
Kweli wewe sio shabiki maandazi kama hao wengine.
Ukweli humuacha mtu huru.Kudos mtani wangu.Heshima tele kwako.
ataziongeza vp ikiwa alisha weka mbeleko yake ana alichokitaka kishapatikana
unataka kunambia ile faulo iliyo anzishwa bila ya filimbi ilikuwa ni sahihi
nilijua unakuja kujibu hoja kumbe unaokota ujinga mtandaoni kuja kusapoti mbelekoWe jamaa kiazi sana. Timu iliyochezewa faulo inapewa advantage ya kuanza quick free kick au kawaida. Slow thinking Nkana na quick thinking ya Simba isiwe mchawi. Tatizo lako ni exposure!