magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Mwaka huu mtaomba sana.
Kwanza mliomba
Mbabane-out
Nkana-out
Kwanini usiombe mtokane na ukata na ujinga uliokithiri.
Jana kuna kiongozi wa matawi kutoka Zanzibar "amewalaani "wenye kupinga uchaguzi wenu.
Wewe uko kundi lipi?Isije ikawa upo kwenye kundi "lililolaaniwa"?
Mna matatizo kila kukicha lakini mpo obsessed na Simba.
Kama sio laana sijui ni nini?
Dah umeandika kwa uchungu kana kwamba huwa mnatuombea mema.