Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Watu waongo sanBado haijaisha, bado kama dakika ishirini na tano hivi.
Hata mimi nawashangaa sana.Watu waongo san
hiyo tunaita kwa msaada wa peter weruweru kakumaKatika timu zote za africa, simba iko top 16. Wangine mjisort wenyewe nafasi zenu.
Mkuu mpaka umenena kilugha basi umekunwa sanaDewji Gunto!
Wajefya Wajefya Wajefya Dewji mnyama kawafanya Ndala wakose amani
hahahahaahah we jamaa hahahahahaha nimecheka sanaBado mkuu. Nkana wakiwa chini ya wakili wao Zipompa wamekata rufaa. Rufaa yao inahusu goli la 3 la Tripple C kwamba limefungwa haraka sana. Eti wanadai kanuni haziruhusu ilibidi liwe kwa slow motion.
Sijui CAF wataamuaje kuhusu rufaa hiyo.
Hivi Mkuu bado unabishana nao hao wanaodai tumeujulia mpira Insta. Koh koh.hiyo tunaita kwa msaada wa peter weruweru kakuma
Wa Kijani na Njano, wanapatikana pale bwawani mtaa wa Jangwani[emoji196][emoji196][emoji3][emoji3]
Mbumbumbu FC teh teh.....Vyura FC
Njaa FC
Mabakuli FC
Ndala FC
Gongowazi FC
KimaWaTaifa FC
Nasikia Zahera kafungiwa kwa babu Moro?View attachment mganga next level.mp4Wa Kijani na Njano, wanapatikana pale bwawani mtaa wa Jangwani[emoji196][emoji196][emoji3][emoji3]
Ukimtaja huyo ni wengi watateseka mara mbili..Huyo anaiogopa Simba balaaNasikia Zahera kafungiwa kwa babu Moro?View attachment 976002
Angalia mechi iliopita na hata hii. Nkana kwenye kurusha mipira, wachezaj wa simba wanakuwa hawajajipanga na wao nakuwa washarushamkuu unazungumza nini nenda youtube kaangalie faulo ngapi za namna iyo (kuanza bila ya ruhusa ya refa zimkataliwa) ilo ni tatizo la refa eidha makusudi (mahaba niue) ama kwa ushawishi wa rushwa
ai tatizo la timu pinzani kama unavyo hamisha goli
Mtani mbona una roho mbaya ilo ndo kundi japesiNdugu zangu wa Yanga ndio tunapambana na timu inafanya vizuri kipindi hiki lakini kuna haja ya mageuzi makubwa kufanyika hasa suala la uwekezaji wa maana. Mafanikio ya Mikia yawe somo kwenda kwamba siku zote utavuna ulichopanda. Nakataa kukubali kwamba Simba yeye ndio anayaweza haya mashindano. Jiulize toka mwaka 2002 leo ndio anafanikiwa kutinga hatua ya makundi. Ni nguvu ya usajili, nguvu ya pesa. Vilabu vikubwa vyote vimewekeza pesa nyingi sana kwa ajili ya haya mashindano na ni ngumu sana kuchuana nao kama una kikosi dhaifu.
Rejea kipindi Manji bado yupo na timu, tulitinga hatua ya Makundi mara mbili. Sio kwamba tulibahatisha bali tulistahili kutokana na uwekezaji uliofanyika.
Mwisho naiombea Mikia ipewe kundi jepesi ili iendelee kutuwakilisha Watanzania.
Kundi A :
Esperence
Tp Mazembe
Al Ahly
Simba
Hahaha we jamaa kukomoana huku sasa!!.Ndugu zangu wa Yanga ndio tunapambana na timu inafanya vizuri kipindi hiki lakini kuna haja ya mageuzi makubwa kufanyika hasa suala la uwekezaji wa maana. Mafanikio ya Mikia yawe somo kwenda kwamba siku zote utavuna ulichopanda. Nakataa kukubali kwamba Simba yeye ndio anayaweza haya mashindano. Jiulize toka mwaka 2002 leo ndio anafanikiwa kutinga hatua ya makundi. Ni nguvu ya usajili, nguvu ya pesa. Vilabu vikubwa vyote vimewekeza pesa nyingi sana kwa ajili ya haya mashindano na ni ngumu sana kuchuana nao kama una kikosi dhaifu.
Rejea kipindi Manji bado yupo na timu, tulitinga hatua ya Makundi mara mbili. Sio kwamba tulibahatisha bali tulistahili kutokana na uwekezaji uliofanyika.
Mwisho naiombea Mikia ipewe kundi jepesi ili iendelee kutuwakilisha Watanzania.
Kundi A :
Esperence
Tp Mazembe
Al Ahly
Simba
makundi gan??? kilabu bingwa au shirikisho??? jifunze kutenganisha makundi anayocheza simba na anayocheza yanga[emoji23][emoji23]Yanga ilicheza sana makundi hamna kitu Kipya. Kumtoa Nkana ni mwanzo wa hatua nyingine.
hapa ulicho jibu ni nini? kufunga ulaya kafunga maradona goli la mkono, kafunga henry goli la mkono kufuzu mashindano makubwa hii haifanyi magoli ya mkono kuwa halali kwenye mipira kwa kuwa tu ulaya yametokea(ujinga wako uko hapa)
mie sikujipanga kwa mbeleko ya namna ile ashukuliwe peter weweru