Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Wanateseka mpaka sauti hazitoki kuandika kumekuwa kugumu.Nkana mmewasononesha sana vyura. Mliwapa ahadi ya kuishi kwa matumaini mmewaachia kilio. Sasa wanateseka kuliko nyie mtakaoshiriki kombe la shirikisho.
Matumaini kweli neno baya kama uliyekuwa una matumaini naye kapigizwa kwa Mchina.
Inabidi ukubali kuteseka.
 
mkuu unazungumza nini nenda youtube kaangalie faulo ngapi za namna iyo (kuanza bila ya ruhusa ya refa zimkataliwa) ilo ni tatizo la refa eidha makusudi (mahaba niue) ama kwa ushawishi wa rushwa

ai tatizo la timu pinzani kama unavyo hamisha goli
Angalia mechi iliopita na hata hii. Nkana kwenye kurusha mipira, wachezaj wa simba wanakuwa hawajajipanga na wao nakuwa washarusha
 
Ndugu zangu wa Yanga ndio tunapambana na timu inafanya vizuri kipindi hiki lakini kuna haja ya mageuzi makubwa kufanyika hasa suala la uwekezaji wa maana. Mafanikio ya Mikia yawe somo kwenda kwamba siku zote utavuna ulichopanda. Nakataa kukubali kwamba Simba yeye ndio anayaweza haya mashindano. Jiulize toka mwaka 2002 leo ndio anafanikiwa kutinga hatua ya makundi. Ni nguvu ya usajili, nguvu ya pesa. Vilabu vikubwa vyote vimewekeza pesa nyingi sana kwa ajili ya haya mashindano na ni ngumu sana kuchuana nao kama una kikosi dhaifu.

Rejea kipindi Manji bado yupo na timu, tulitinga hatua ya Makundi mara mbili. Sio kwamba tulibahatisha bali tulistahili kutokana na uwekezaji uliofanyika.

Mwisho naiombea Mikia ipewe kundi jepesi ili iendelee kutuwakilisha Watanzania.

Kundi A :

Esperence
Tp Mazembe
Al Ahly
Simba
Mtani mbona una roho mbaya ilo ndo kundi japesi
 
Hahaha we jamaa kukomoana huku sasa!!.
 
Zipompa nasi yanga leo tunamchapa tukuyu stars.... Tuungane ushindi wa mnyama usitukoseshe raha.

hapa ulicho jibu ni nini? kufunga ulaya kafunga maradona goli la mkono, kafunga henry goli la mkono kufuzu mashindano makubwa hii haifanyi magoli ya mkono kuwa halali kwenye mipira kwa kuwa tu ulaya yametokea(ujinga wako uko hapa)

mie sikujipanga kwa mbeleko ya namna ile ashukuliwe peter weweru
 
Back
Top Bottom