Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Hongera sana mikia ila leo hatulali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna Mkuu sisi ushindi tumezoea tulikua tu tutatpita[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mikia ila leo hatulali
haaaaa,triple c kawachapa tigoHahaaaa umetisha
Sichoki mkuu.Utahama mpaka uchoke
Next mnyama anakutana na nani?
Hilo najua ndiyo maana situkani mtu nje ya utani.Yawezekana hajui kuwa huu mchezo hauhitaji hasira
Shenzi type ..soma matokeo ubaoni this is simbaMpira hauchezwi mdomoni bali kwenye pitch, ina maana porojo za yule zeruzeru mnadhani zinafanyakazi uwanjani?
SAMEHEANENI! Ukitaka kujua tabia ya mtu ni ama awe na furaha ama awe na huzuni!!Nishawahi kukutana nje ya utani wa kawaida? I won't take this lightly my friend.
Hahahahahahaha pole sana MkuuYaani wewe! Nina Furaha Apa! Mpka Najisikia Vibaya
Yupo kwenye makundi.. Kundi lina timu nneNext mnyama anakutana na nani?
Kuna watu hawajui utani wa mpira Mkuu na utani ndio burudani yenyewe kwenye soka Acha nae kiongozi.Sina tabu Nashangaa huyo ananitukana nje ya utani wa kawaida
Haya. Karibuni kula viporo vyenu kabla havijachacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna Mkuu sisi ushindi tumezoea tulikua tu tutatpita[emoji23][emoji23]
Bladshit ...this is simba ...kunyweni sumuSimba ni Timu pekee Duniani ambayo unaweza pata kona 50 na isifunge moja
KAFAJE..Piga ua mnyama lazima afe leoo!!!
Ndo kapigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la ZambiaJamani mnaoangalia mpira Chama hayumo?