Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana mkuuMimi ni Yanga, nawapokezeni Simba, well done.
Pole sana angalia usije ukajinyongaHahaha ndimu inakamuliwa kwenye dafu. Inazuia malaria.
Chura hatoki hapa.
Najua mkishinda dar hakutalalika.
Nkana piga hao mikia fc
Kinyama aise..ilitakiwa ubao usome 5 -1Hila boco Anazingua kinyama
Mtani acha jazbaHatuitaji pongezi zenu za kinafik wapongezeni nkana
HahahahahaaNkana wasisahau kuondoka na mashabiki wao
Hawa wasomali nashangaa kwanini hawarudi kwaoKuna Kijigenge Flani ivi kutoka Kwenye Madimbwi Makubwa ya Kufugia Vyura Pale Jangwani eti Wanajiita Wazee Wa KimaWaTaifa lakini kazi yao ni kugawa mdondo tu kwa wanaume 😀 😀 😀 😀
View attachment 975537
Utajua mwenyewe na uchawi wako😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hongera sana mikia ila leo hatulali
kweeeeeli walikuwa wapi kipindi tunahangaikaHatuitaji pongezi zenu za kinafik wapongezeni nkana
Kapandeni basi la nkana mrudi nao Zambia wanakalampa kweli mnajua kutoaMtani acha jazba
Hajinyongi mtu hapa.Pole sana angalia usije ukajinyonga
Msamehe mkuu naona furaha yake imepitilizaHilo najua ndiyo maana situkani mtu nje ya utani.
Uko wapi mkuuChama kakutana na Vyama.