Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Maeneo ya Temeke (keko, tandika, serengeti temeke hospitali na polisi chang'ombe ni fujo na kelele.
Mikia ikishinda taaabu kweli mitaani.
 
Nimechukizwa na ushindi wa Simba lakini nimefurahishwa sana na Goli la Chama,
Dah, lile goli hata Ulaya ni adimu nimelishangilia huku nikiwa nimekunja Sura kwani
Ni Goli ambalo linaweza kukupa Dhamana ya kukusanya korosho bila malipo.
 
Back
Top Bottom