Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 478
Aiseeeefinal score aggregate itasoma 4-3
hapo tutatoka na 3-1
limebaki gori 1 la kpnd cha 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeefinal score aggregate itasoma 4-3
hapo tutatoka na 3-1
limebaki gori 1 la kpnd cha 2
Mngese wa kinyakyusa. Nenda leba ukazalishwe.Naona uchungu hautaki kuachia.Kutoka Mbeya ukajifanya mzambia.Ungese akifanya baba yako usidhani ni kila mtu. Naona kijana unafuata nyayo za ungese wa baba yako.
Wenzio timamu wanafurahia bila bugudha kwa wengine. M
Come mierda.
Ulikuwa una maanisha nini embu tufanunulieChama kakutana na Vyama.
Walisema Zambia kina Chama ni wengi sana leo kimyaaaa
1.2bilionIvi wanapata sh ngap kwa kufuzu makundi ya ligi ya mabingwa?
HahahahaLeo nasikiliza vipindi vya michezo kama vituo 5 hivi, kuanzia BBC, EFM, Radio One, TBC na Clouds.
Kesho asubuhi Sports HQ ya EFM.
Toka jana nawauliza ndugu zangu wa mikia kuwa wapenzi wa Nkana tunaweka wapi comment zetu?
Msinilaimu niweka comment yangu isipotakiwa
Duh kumbe mpung mrefu ivi?1.2bilion
Hahahaha
Mnooooo!!!!burudaniiii!!!!namsubiri manara tuu!anipe rahaaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀!!!Duh! Leo utalala na furaha sana.
Ni kama mimiLeo nasikiliza vipindi vya michezo kama vituo 5 hivi, kuanzia BBC, EFM, Radio One, TBC na Clouds.
Kesho asubuhi Sports HQ ya EFM.
EFM sport hq asubuh saa ngapi inakuwaga?Namalizia kusikia 107.3 FM hapa, ndo nihamie EFM, naona BBC inaingiliana muda na EFM.