Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.

Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar.

Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.

Taarifa kwa kina zinakuja...
Robert Amsterdam tafadhali
 
Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.

Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar.

Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.

Taarifa kwa kina zinakuja...
Kosa ni kugombea rais dhidi ya "jiwe mtu" au nini? Mijitu mingine ni shida tupu.Roho mbaya na sura vile vile! Muujiza wa Burundi bora utokee tz.
 
Hata wewe Nyani Ngabu umeona eeh!
Hii ni ishara kuwa pengine hata bodyguard wa Pombe hafurahishwi na mambo ya Pombe
Take that!

Kama sababu zipo na polisi wanawea kujustfy ni sawa tu.

Hata huko Ulaya na Marekani polisi wanaaminiwa kwelikweli kwa kazi zao.

Tuache sheria ichukue mkondo wake.

Kama hawana makosa wataachiwa.
Hakuna sababu zingine zaidi ya zile za kisiasa.

CCM ‘imeshinda’ kwa zaidi ya asilimia 80.

Kwa nini ina behave Kama watu walioshindwa na ambao wanatumia mabavu kubakia madarakani?
 
Back
Top Bottom