Labda mpaka upepo huu upite,nadhani labda mpaka baada ya tarehe tanoTaarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda kutafuta hifadhi Ubalozi wa Ujerumani (Jengo la Umoja House).
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
Taarifa kwa kina zinakuja...