Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Mlijua kuna wa kuwagwaya wazungu wenu?

Tuliwaambia mkajitia kichwa ngumu

Lilikuwa suala la muda tu ana kesi kibao za kujibu

Na bado wengine
 
Hiyo ni kazi ya jeshi.

Nafikiri walimalizana nalo hilo.
Wewe ni mjinga wa asili , watu kama ww ni hasara tupu, watu wanakatwa vichwa huko unathubutu fungua mdomo kutetea ujinga
Screenshot_20201101-211330.jpg
 
Hakuna sababu zingine zaidi ya zile za kisiasa.

CCM ‘imeshinda’ kwa zaidi ya asilimia 80.

Kwa nini ina behave Kama watu walioshindwa na ambao wanatumia mabavu kubakia madarakani?
Hatari sana hii... Mwisho wa siku wanaweza kuungwa kwenye ile kesi ya mauaji ya ndugu yake Mh. Wenje huko rorya!!!
 
Alikwenda kuomba aslam seeker? so sie kina chande tusiojulikana tungekimbila wapi?
 
Wanakosea sana.

Magufuli anajiharibia mno.
Kwani kesi ya kushambuliwa iliisha?

Ulikuwa unasubiriwa upepo wa uchaguzi tu msifikiri anakamatwa sababu ya uchaguzi japo inaweza kuwa moja ya sababu
 
Back
Top Bottom