Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Hapana, anajenga nidhamu na kuweka mazingira mazuri ya kutawala.Wanakosea sana.
Magufuli anajiharibia mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, anajenga nidhamu na kuweka mazingira mazuri ya kutawala.Wanakosea sana.
Magufuli anajiharibia mno.
Mwaga dataHuyo ni ccm na aliandaliwa mahususi, au na hilo hulijui pia nikupe data zaidi kuhusu huyo dada?
Mmoja lilimdedisha, alianza kuliletea kiwingu.Hawa watu waliopitisha huyu mtu awe top, sijui haya yanayo endelea n nn kinapita akilini mwao
What these ccm thugs and their partners in crime poliseccm doing , is like someone stepping on your toes, and when you want to let him and the world know that he stepped on your toes, he is silencing you so you can't even talk!No, it's a nice move.
Tuliombee taifa la Tanzania livuke salama, japo viongozi wake wamekosa maarifa.Hell no!
Mimi tokea 2010 nimekuwa nikisema kuwa kamwe sitoziamini chaguzi zinazoendeshwa na tume ambayo imeundwa na mwenyekiti wa CCM!
Lissu alikuwa anaenda kuomba hifadhi ubalozi wa Ujerumani?
Tatizo lenu mwajiona ni "super humans, super intelligent" mwafahamu kila kitu hamjali wala kuheshimu maoni ya wengine.Ona hii takataka, mbona mnashindwa nasa au zuia uvamizi wa hao magaidi wanao vamia mikoa ya kusini hapo kila uchwao??
Yes. Rumours are embassies kadhaa zimeogopa kumpokea.Lissu alikuwa anaenda kuomba hifadhi ubalozi wa Ujerumani?
Seriosly?
Sawa mimi ni takataka wa jalalani.Wewe ni takataka narudia tena, hao jamaa wako hapo Mozambique mwaka wa tatu sasa
Haya majibu ya kijinga mnapofeli sehem mnasingizia uzalendo , sijui mabeberu , mnajifanya kua victim, ujinga mtupu, mkijadili huko lumumba acheni huko huko lumumba msije jiabisha mbele za watu, shenz
Ulimsikiliza Sirro kabla ya kampeni kuanza?Usengez mwingine huuu.
Kwa hiyo siku hizi mtu akishambuliwa anatakiwa kukamatwa ili akajibu kesi ya kushambuliwa kwake.
Tusifike huko kwanzaMwaga data
Mkuu, ungekaa tu kimya kuficha ujinga wako. Kuna tofauti kati ya kutoa maoni na kubwatuka ujinga, hujishangai kwa nini kila mtu anakuona poyoyo humu?Tatizo lenu mwajiona ni "super humans, super intelligent" mwafahamu kila kitu hamjali wala kuheshimu maoni ya wengine.
Mnawaona wengie ni takataka kama usemavyo.
Hivi mngeshinda uchaguzi Tanzania ingekalika kweli?
Habari ya maandamano Comred 😁😁😁Alafu kwanini wamempeleka kama biharusi?
alitakiwa afike kituoni uso umehama sehemu yake.
Serikali ya Magufuli inataswira ya utoto.Wanakosea sana.
Magufuli anajiharibia mno.
Kuna uhusiano gani wa kushinda uchaguzi nchi isikalike na kuambiwa ukweli unapoandika pumba?Tatizo lenu mwajiona ni "super humans, super intelligent" mwafahamu kila kitu hamjali wala kuheshimu maoni ya wengine.
Mnawaona wengie ni takataka kama usemavyo.
Hivi mngeshinda uchaguzi Tanzania ingekalika kweli?