Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Mkuu, ungekaa tu kimya kuficha ujinga wako. Kuna tofauti kati ya kutoa maoni na kubwatuka ujinga, hujishangai kwa nini kila mtu anakuona poyoyo humu?
Kila wazo au maoni tofauti na ninyi ni ujinga na takataka hivyo tuvumiliane tu hivyohivyo.

Hata tungekuwa darasani na ukagundua Richard ni mjinga si wapotezea tu?
 
Kuna uhusiano gani wa kushinda uchaguzi nchi isikalike na kuambiwa ukweli unapoandika pumba?

Unaonekana mzee sana uliechoka akili.
Ni kweli, I'm 66

Tatizo lenu ndo hilo kushambulia wengine walo tofauti na ninyi.

Ni kama vile mnamiliki JF
 
Nchi kuongozwa na mwendawazimu kazi Sana , wehu mtupu , umeiba kura , umejitangaza , unahangaika Nini kuua watu , kukamata kuvamia na kuchoma nyumba za watu bila aibu , ukisaidiwa na vyombo vya dola kwaumiza wananchi wanaodai Mpaka haki zao wenyewe polisi na vyombo vyote vya dola
Screenshot_20201101-195743.png
 
Kila wazo au maoni tofauti na ninyi ni ujinga na takataka hivyo tuvumiliane tu hivyohivyo.

Hata tungekuwa darasani na ukagundua Richard ni mjinga si wapotezea tu?
Unapotoa maoni hadharani unakuwa umetoa nafasi kwa yeyote kudai justification ya maoni yako, unaposhindwa kusupport maoni yako na facts/evidences ndipo watu hukuona mjinga!

Yaani unaionesha jamii kuwa unaweza kuamini kitu kisicho na locus stand na unaenda mbali zaidi kuitaka jamii nayo iamini kama unavyoamini wewe.
 
Hiyo ni operesheni endelevu ambayo yafahamika imepikwa kwa makusudi kuleta tafrani Tanzania.

Hivyo JWTZ wanaendelea na kazi ya kupambana.

Serikali ilichofanya ni kuzima mitandao ili kuzia "abuse" katika kutuma taarifa na ujumbe.

Ikiridhika na hali itaruhusu mitandao itafunguliwa.
We ongea tu propaganda wakati hali ni tete, umekaa kwa shemeji yako unakula/kulala bure, unaleta siasa hapa, njoo uku Kitaya,madiba, ziwani uone hali halisi, bwege we
 
Maneno meeengi alafu vitendo 0
Leo tu umeshindwa kuandamana
Sasa nasema Kama mungu haishivyo, Bora wananchi wote watuweke ndani ,hii hakubaliki ,hakubaliki ,haikubaliki haikubaliki nchi yetu wote
MAMBO GANI MNAFANYA LAKINI AU NDO MWISHO WA TZ UNAKUA, HAIKUBALIKI, HAIKUBALIKI
 
Kila wazo au maoni tofauti na ninyi ni ujinga na takataka hivyo tuvumiliane tu hivyohivyo.

Hata tungekuwa darasani na ukagundua Richard ni mjinga si wapotezea tu?
No.

Tatizo lako unaficha ukweli ulio dhahiri, ndio maana unadharaulika, hata kama unapenda kitu, penda kiasi, sio unapenda mpk nyeusi unaita nyeupe!.
 
Back
Top Bottom