Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Mibavicha imepoteana, hakuna maandamano na Lissu wao kakamatwa. Leo na kesho atalala chini
 
Inawezekana.

Lakini usidharau kabisa mfumo wa usalama wa Tanzania kwa sasa una uwezo mkubwa wa kunasa kila kitu ndani na nje ya mipaka.

Polisi wanafuata maagizo ya intelligence na mashine nzima ya ulinzi na usalama ili Tanzania iwe salama..

Useng..## huu polisi wa Africa pamoja na intelejensia yake iko very predictable. Ipo kwa ajili ya kukandamiza upande fulani.
 
Hivi CCM mlimtoa wapi huyu rais anayedhalilisha legacy ya utawala bora wa Taifa letu?
Hamna Magu yuko vizuri tu mbona? Shida Chadema wameachiwa kufanya drama ili uchaguzi uishe washughulikiwe. Sasa asiyekwepa majukumu anaenda kujificha. WA TANZANIA WAMEMUELEWA ZAIDI mgombea wenu. Subiria watu waandamane wakimtetea aachiwe.
 
Kama sababu zipo na polisi wanaweza ku-justfy ni sawa tu.

Hata huko Ulaya na Marekani polisi wanaaminiwa kwelikweli kwa kazi zao.

Tuache sheria ichukue mkondo wake.

Kama hawana makosa wataachiwa.
Wacha kufananisha polisi wa ulaya na hawa wachumia tumbo wa kiafrika aisee. Polisi wote wa kibongo ni form 4 failure hovyo kabisa!
 
Kwahiyo wewe hapo hadi sasa huamini kukamatwa kwa Mbowe na wenzie pamoja na polisi kutoa maelezo ya kukamatwa kwao?
Maelezo ya huyu mvuta bangi aliye ratibu zoezi la kutekwa na kupatikana kwa Mo, hadi rais wake mwenyewe akamuonya kuwa watz sio wajinga.

Huyu aliyeagiza RCO wake amuandikie Lissu barua ya kuripoti kituoni Dar kwa makosa aliyodai kayatenda Kilimanjaro?

Huyu aliye zodolewa na Sirro kuwa hajui hata police order, anayeenda hadi kwenye press na manguo ya operation?
 
Richi Unavyoandika..like a true patriot au sio?
Mimi najivunia kuwa mtanzania mkuu.

Nilipitia JKT ya enzi hizo si hii ya sasa ya miezi 3 au 6 ambayo Zitto kahudhuria na ametoka akiwa mjinga.

Nilikaa JKT miezi 9 baada ya hapo Monduli nikala nyota zangu na baadae kuingia uraiani.

Likizuka leo naingia kazini kulinda nchi yetu mimi na wewe.

Nikifa vitani ni mapenzi ya Mungu.

Hivi wafahamu leo hii patriots wameongekeza kule USA khasa kipindi hichi cha uchaguzi?

Kuna sababu.
 
Hivi mwananchi wa kawaida anaposhangilia udhalimu kama huu, huwa anafaidika na nini hasa?!

Hivi mtu na akili zako kweli unaweza kushangilia udhalimu dhidi ya binadamu just for political reason?!

Oh, nimekumbuka! Kumbe wapo wale walioshangilia hata alivyopigwa risasi na kutamani eti angekufa kabisa!!

Mungu samehe kizazi hiki kisichojielewa manake kama maadui wa kweli wa taifa basi hawa ndio maadui namba, wanaoweka mbele maslahi ya kisiasa kuliko kitu kingine chochote kile!!
 
Back
Top Bottom