Nono
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,543
- 661
Yaani huyu aliyeandaa hii clip ndiye Zwazwa kabisa. Lisu kasema kwenye Kituo chake mambo yalifanyika vyema sana, na hajapokea taarifa yeyote kutoka kwenye vituo vingine. Hiyo ni mapema wakati alipokwenda kupiga kura.Ndumilakuwili View attachment 1618099