nG'aMBu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,055
- 3,120
Twitter kumeshachafuka hatari3, Lissu ni shidaBora wamemwachia maana Dunia nzima macho na masikio yangehamia Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twitter kumeshachafuka hatari3, Lissu ni shidaBora wamemwachia maana Dunia nzima macho na masikio yangehamia Tanzania.
Mkuu, jana si ulisema wanamwogopa?
Kwa hiyo sio mpinzani ni mwana Ccm?Kwani Queen naye ni mpinzani? Wewe kichwa chako kitakuwa na kamasi siyo bure!
Huyo Msukuma changu wa malunde ni empty set.Kwani Queen naye ni mpinzani? Wewe kichwa chako kitakuwa na kamasi siyo bure!
Atatoa tamko.Sasa mbona wakemwachia, mfyuuu zao
Lisu asifikiri anaogopwa
Naona sasa wakubwa wana hamu na vurugu sana. Nchi imetulia lakini wenyewe wanaendelea kuchokonoa tu.Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House).
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
======
UPDATE: 1950hrs
Lissu pamoja na wote aliokuwa nao wameachiwa bila masharti yoyote
Achana naye huyo kima mkuu,Huyo ni ccm na aliandaliwa mahususi, au na hilo hulijui pia nikupe data zaidi kuhusu huyo dada?
Siku yakikugeuka utalia na familia yako.Safi sana, akabidhi passport yetu, kibali chetu cha uwakili Tanzania.
Uliona wapo polisi wanaogopa maandamano ya Amani kama Polisiccm? Wao tarehe 1 kabla ya mbili wakamkamata mwenyekiti wa chadema kwa kumbambikia kesi wakwawatia hofu waandamanaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mlienda kuandamana?
Unahangaika hatariAtatoa tamko.
Aibu tu, mambo mengine wala hayataki ugenius kuhandleWameshamwachia, tena bila masharti!
Sasa hao walio shindwa kwanini wasitulie na wakafanya shughuli nyingine ?Hakuna sababu zingine zaidi ya zile za kisiasa.
CCM ‘imeshinda’ kwa zaidi ya asilimia 80.
Kwa nini ina behave Kama watu walioshindwa na ambao wanatumia mabavu kubakia madarakani?
Afande kwema?Mkuu, jana si ulisema wanamwogopa?
Exactly....hususan toka kwa watu ‘walioshinda’ kwa kishindo!!!Aibu tu, mambo mengine wala hayataki ugenius kuhandle
Kule Mtwara walishindwa nini kunusa?Inawezekana.
Lakini usidharau kabisa mfumo wa usalama wa Tanzania kwa sasa una uwezo mkubwa wa kunasa kila kitu ndani na nje ya mipaka.
Polisi wanafuata maagizo ya intelligence na mashine nzima ya ulinzi na usalama ili Tanzania iwe salama..
Really?Safi sana, akabidhi passport yetu, kibali chetu cha uwakili Tanzania.
Hahahahahaha alikua anaenda kujificha huku akitaka vijana waandamane, wakome, tuliwaambia mtak
Hata sielewi kwakweli.Kule mtwara walishindwa nini kunusa?
Leo unamkana msukuma mwenzako uliyekuwa unampigia debe wewe na Mwanakijiji ????Bad move!