Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Inawezekana.

Lakini usidharau kabisa mfumo wa usalama wa Tanzania kwa sasa una uwezo mkubwa wa kunasa kila kitu ndani na nje ya mipaka.

Polisi wanafuata maagizo ya intelligence na mashine nzima ya ulinzi na usalama ili Tanzania iwe salama..
That is what you are saying.
 
Ndiyo uko nyumba ya vioo halafu unapiga bomu. Magufuli hachezewi. Na hii ni awamu ya lala salama ni lazima alalishe wasumbufu.

Maandamano hapa hapana kabisa . Kama hujaridhika ni kwenda mahakamani hata ya AFRICA AU DUNIA. Watu maandamano ya Fujo hatujazoeana hayajawahi kutokea tena baada ta yale ya Mwembechai.
 
Hivi mwananchi wa kawaida anaposhangilia udhalimu kama huu, huwa anafaidika na nini hasa?!

Hivi mtu na akili zako kweli unaweza kushangilia udhalimu dhidi ya binadamu just for political reason?!

Oh, nimekumbuka! Kumbe wapo wale walioshangilia hata alivyopigwa risasi na kutamani eti angekufa kabisa!!

Mungu samehe kizazi hiki kisichojielewa manake kama maadui wa kweli wa taifa basi hawa ndio maadui namba, wanaoweka mbele maslahi ya kisiasa kuliko kitu kingine chochote kile!!
Hamna mwananchi wa kawaida anayeshangilia huu udhalimu..wanaoshangilia wana agenda zao na wanafaidika na hali ilivyo! Ni kukosa uzalendo kwa taifa tu na tutakuja kujuta siku si nyingi
 
Upinzani ungekuwa unapigania mambo ya msingi haya yote yasingetokea,yule wa CUF anakumbuka shuka wakati kumekucha,eti hawashiriki uchaguzi mwingine wowote kama hakina tume huru.tulisemaga humu toka kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa,kwamba tume huru ni muhimu ikawepo kwanza hata kama tungehairisha huu uchaguzi kwa muda.

Matokeo yake ni kushindwa kama ilivyotokea,walidhani watapata viti vingi vya ubunge kama kipindi cha lowassa.

Sasa kujaribu kuleta sintofahamu,kwa kutishia maandamano imekuwa kama uhaini kwa sasa.kujaribu kutikisa kiberiti cha amani ni hatari.

Mimi naona vyombo vya dola vipo sahihi.na hao mabalozi wakae hapa nchini kwa kutulia.sio wanaletaleta umbea kama mawakala wa shetani.
 
Mimi najivunia kuwa mtanzania mkuu.

Nilipitia JKT ya enzi hizo si hii ya sasa ya miezi 3 au 6

Nilikaa JKT miezi 9 baada ya hapo Monduli nikala nyota zangu na baadae kuingia uraiani.

Likizuka leo naingia kazini kulinda nchi yetu mimi na wewe.

Nikifa vitani ni mapenzi ya Mungu.

Hivi wafahamu leo hii patriots wameongekeza kule USA khasa kipindi hichi cha uchaguzi?

Kuna sababu.
Naona unajaribu kuuza uoga behind your keyboard and device screen..tukuone wa zamani sio? Wale wa JKT halisi bragging ni mwiko.
 
Hivi CCM mlimtoa wapi huyu rais anayedhalilisha legacy ya utawala bora wa Taifa letu?
Kati ya marais watakaokuja kukumbukwa kwa mabaya zaidi kuliko mazuri. Fortunately yeye mwenyewe analijua hilo ndio maana anakazana kujenga vitu na kununua vitu ili watu wakiviona wamkumbuke ila hajui kuwa material things ni vyakupita tu real legacy haijengwi kwa material things.
 
Wakati wamemkamata mbele ya hao mabeberu, yamebaki yanatoa macho tu.
Lissu muoga sana, sasa ndio nini kukimbilia ubalozini?
Mpuuzi sana huyo jamaa, si ana tiketi ya kurudi ulaya, aende tu huko kwa mabwana zake. Asituvurugie mipango ya maendeleo.😡
 
Sasa ukiniuliza evidence anaeonekana mjinga hapa ni nani?

Mimi kama raia naamini maelezo ya polisi na natambua wanafanya kazi yao na kama mlipa kodi nawalipa mshahara kuhakikisha usalama wa raia wa Tanzania na mali zao.

Polisi wanapotoa taarifa kwenye vyombo vya habari wadhani wana lengo gani?

Sasa hata kule France yule kijana aliechinja watu alipohojiwa si alitaja watu wengine walopanga nae uhalifu.

Sasa polisi walipokwenda kukamata watu wengine watatu walotoa wapi ushahidi?
Kama unaamini polisi wanaotembea na Ilani ya ccm nimejilidhisha naoongea na mtu wa namna gani pole sana
 
Yani wewe kama mwanaume weka jina lako na picha halisi tukujuwe
Jina:King Mkwezere Mapokopokomanjali mjukuu wa Ibilisi.
f0b41ec57e2e6f77de09403c4c8becc4.jpg
 
Back
Top Bottom