Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Ebu fikiria washauri wakuu wa Serikali ni Le mutuz na cyprian Musiba unategemea nini hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] etii le mutuz
 
Hapana, wapuuzi tu wanaoshinikiza mazezeta kuandamana. Mtu umeshindwa uchaguzi huru eti bado tu unalalamika kuhisi bado uko bungeni. Mazoea mabaya sana.
Uchaguzi upi? wapi? Maana Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika bali CCM imeulawiti na kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Labda embassy waliita police kuna mtu hawamwelewi elewi nje ya embassy.

Halafu ukiwa na VISA ya EU utaomba je tena ukimbiza kwao, ndiyo maana hawakumuelewa. Maana hata system zao zitakataa kukupa huo ukimbizi.

Yeye angeenda embassy nje ya hizo, kama Korea Japan nk.
 
Magufuli anafanya haya ili wale waoga wasalimu amri kwake na waunge mkono juhudi.

Lakini naamini wale waoga wa kufanya hivyo ndio wale tayari aliishawanunua ila ni sharti afadhali ajue kuwa hawa sio sampuli hiyo.
 
Watanzania wa wapi wameamua juu ya CCM? Maana watanzania wenye Akili timamu hawawezi kuipa CCM kura, Yaani wapinzani hawapo huru kwenda popote? mnawachagulia pa kutembelea?
Watanzania wengi walio na akili timamu ndiyo waliomchagua rais mpya na wabunge wao pia....mazezeta ndiyo wana wish tofauti. Mtu unahimiza watu kuja kuandamana kisha ukimbie ili iweje? Hii inaashiria kuwa wapinzani wamefanya makusudi kuandamana na wakikamatwa wakimbilie balozi za watu kuichafua nchi. Wapuuzi sana hawa maharamia, kamati mwizi man na tupa baharini kule wakaliwe na papa.
 
Wamepigwa mkwara gani hadi wakamwachia kwa haraka namna hiyo?
Umoja wa Balozi zote Nchini Tanzania umewapiga mkwara Polisiccm na ukawaambia ICC haipo mbali na Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo vya kishamba kuwaonea wapinzani kwa njia haramu za kishetani
 
Wakti ule ukimaliza form six unapita JKT halafu kama umeonekana ni wale wanofaa kwa muendelezo si waendelea Monduli mzee au?

Hao watu wangu 1000 ni katika shughuli ingine kabisa tofuti na Army mkuu.

Mimi sasa kwa Army ni reservist tu sina impact sana.

Wanifuatilia hapo?
 
[emoji3][emoji3][emoji3],wameshindwa uchaguzi wakae kwa kutulia kama hawapendi kuwekwa ndani.tunahitaki Rais mteule aapishwe kwa amani mambo mengine ya maisha yasonge mbele,hawa wachumia tumbo wanatuchelewesha,waataachiwa baraza la mawaziri likishatangazwa hapo siku zijazo.
 
Mazezeta waliichagua CCM ndipo NECCCM Tumeccm na Polisiccm wakaamua kuubaka kuunajisi kuulawiti kwa njia haramu za kishetani, hakuna kufanya makusudi kuandamana kwani ni maandamano ya Amani yasiyo na fujo, Nchi ilishachafuka tayari ichafuke mara ngapi? Kitendo cha kuwa mnawabambikia kesi kesi kuwapiga risasi tayari mmeichafua Nchi
 
Wachumia tumbo wanufaika wa udikiteta na udhalimu wa CCM kwa Akili zenu ndogo eti mnadai mmeshinda uchaguzi? Uchaguzi upi? Wapi? Ni kweli Rais mteule wa NECCCM Tumeccm na Polisiccm siyo wa kuchaguliwa na wapiga kura
 
Wangeachana nae tu.. CCM tumeshinda sana, wamuache tu
 
Safi kabisa, maandamano ni uchochezi au mapambio ?

Pili, kwanini amekamatwa ?

Tatu, pumba hazitapikwi, jifunze matumizi mazuri ya maneno.
1.Maandamano si uchochezi

Maandamano ni sehemu ya civil liberties na ndio maana yanaruhusiwa kikatiba.

2. Kwa nini amekamatwa? Kakamatwa kwa sababu ya upumbavu wa serikali na kutokujiamini kwa Magufuli. Na kwa taarifa yako, keshaachiwa bila masharti yoyote yale. Ushahidi kwamba hawakuwa na sababu yoyote ile ya msingi, to begin with!

3.Okay, basi tu substitute pumba na matapishi! Unatapika matapishi tu hapa.
 
Uchaguzi upi? wapi? Maana Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika bali CCM imeulawiti na kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
Mimi nili vote, wewe pia uli vote na watanzania walio wengi wame vote na tumechagua viongozi wetu....uchaguzi ulikuwa huru na wasimamizi wote wamekiri hivyo, kama wewe umeguswa pahala na hukupendezwa nao, nakushauri hama nchi kaishi Somalia, Yemen, Sudan, Afghanstan, Libya na nchi nyingine kama hizo zilizo na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…