Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Ngoja nikuonyeshe ya kuwa hujajibu swali. Kwako wewe umechukulia ya kuwa alicho kifanya lisu ni katika shughuli yake. Hii haiwezi kuwa shughuli sababu sababu yuko chini ya dola na anachofanya ni uchochezi,na asiye tii mamlaka na mchochezi haki yake ni hiyo.

Hii mifumo ya kijinga watu wanadekezana sana, angalia nchi zilizo fikia utimilifu wa kiutawala watu wajinga na wachochezi na wasio kubali kushindwa na wenye kuhatarisha amani haki yake ni kuuwawa. Hakuna jambo adhimu kama Amani.
Upupu
 
Kuna watu toka washinde kwa Rekodi, lakini hawana raha huko [emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna mkwere 2010 alishinda kidogo ila alikuwa anazurura dunia nzima bila matamko kutoka kwa mabeberu na White House alialikwa, na Bush na Obama walikuja Tz kama kwao [emoji23][emoji23][emoji23].

Kikwete was a smart politian.

CCM then had smart leadership.

Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
 
Dogo minyoo jipige vidole tu kutoa hiyo minyoo inayokumaliza akili....uchaguzi umepita, watu tunafanya kazi sasa. Lissu hana kazi, analazimisha watu wasio na akili kuandamana ili iweje?
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Niilikutegea nikuone tayari umenasa wewe mbumbumbu juha zuzu Tambua kuwa kipimo za uzezeta ufala hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kishamba lakini hakuna anayehangaika nayo, wenye Akili timamu wapo busy na mada, wewe Mbona huna kazi na unakataa maandamano ya Amani? Uchaguzi upi umepita? Hakuna uchaguzi Tanzania zaidi ya vioja na maigizo ya kuuhadaa ulimwengu kuwa Tanzania kulikuwa na uchaguzi
 
Chanzo cha kukamatwa kwao ni serekali ya Magufuli imejaa hofu na haijiamini kwa sababu haijashinda uchaguzi kihalali
Hizi ni hisia zako!!! Umepata habari za dereva wa viongozi hao aliyelinusuru taifa kwa kuonyesha upendo wa hali ya juu kwa watanzania wenzake!? Ama bado!?
 
Serikali ya Magufuli ina behave kama vile haijashinda!

Mabavu ya nini kama kweli wameshinda kihalali na hiyo mandate ya zaidi ya asilimia 80??
Ukishindwa kwenye pambano lolote lile usipokubali matokeo wewe utakuwa ni jeuri utajibiwa kwa jeuri. Usipotii matokea ukaleta mabavu utajibiwa kimabavu.
 
Kwa hiyo wote ambao hawajachaguliwa waende jela?
Lengo la CCM ni kuufuta mfumo wa vyama vingi ndiyo maana cyprian Musiba aliandaa njama za kuwateketeza wapinzani kwa njia haramu za kishetani
 
Hizi ni hisia zako!!! Umepata habari za dereva wa viongozi hao aliyelinusuru taifa kwa kuonyesha upendo wa hali ya juu kwa watanzania wenzake!? Ama bado!?
Aliyetengenezwa siyo. Mbona single hizi tumezizoea? Kuanzia Ulimboka n.k
 
Ukishindwa kwenye pambano lolote lile usipokubali matokeo wewe utakuwa ni jeuri utajibiwa kwa jeuri. Usipotii matokea ukaleta mabavu utajibiwa kimabavu.
Kwenye fair play ndipo kuna kitu kama hicho siyo kuchezewa faulu kisha ulazimishwe kukubali matokeo
 
Sasa utafanyaje mkuu,ndio imeisha hivyoo,na maandamano nayo yameshindikana,shida juu ya shida.muhula uliopita mlikuwa na wabunge kedekede,ruzuku ya kutosha,bado kwenye uchaguzi mkapitisha bakuli,sasa kwa sasa ruzuku hakuna sijui chama kitaendeshwaje.mnaelekea kufa asee,viongozi waandamizi wanakuwa kijiweni,hela ya kuendeshea maisha watapata kwenye biashara zao .ndio maana wamepaniki na matokeo,hawakutegemea.

Mzeee magu mtu m-bad.....[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Imeisha hiyoooooo
 
Back
Top Bottom