Hivi ndivyo nilivyo mimi.Upupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ndivyo nilivyo mimi.Upupu
Nakusikitikia sana, narudia...jipige vidole kwa kishindo utokwe na povu....hasira zako zitaisha tu. Wananchi tuliojiandikisha tulipiga kura, kama wewe hujapiga ni shida yako.....hupendezwi hama nchi.Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Niilikutegea nikuone tayari umenasa wewe mbumbumbu juha zuzu Tambua kuwa kipimo za uzezeta ufala hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kishamba lakini hakuna anayehangaika nayo, wenye Akili timamu wapo busy na mada, wewe Mbona huna kazi na unakataa maandamano ya Amani? Uchaguzi upi umepita? Hakuna uchaguzi Tanzania zaidi ya vioja na maigizo ya kuuhadaa ulimwengu kuwa Tanzania kulikuwa na uchaguzi
kumbe umesikia, haya endelea kusikiaBTW umesikia Ubalozi wa Muzungu umembamizia tundu mlango usoni ?
Unahalalisha mauaji kwa kivuli cha kulinda amaniHivi ndivyo nilivyo mimi.
Hakuna aliyebisha kuhusu hilo!Yanaruhusiwa kwa kufuata taratibu za kisheria zinazooelekeza jambo hilo.
Shukuru CCM inawaletea maendeleo hayo finyu na kukamata makinikia na mali mlizokuwa mnaibiwa huko nyuma...wangekuwa hawa wapinzani ndiyo wameshika nchi basi mngelia sana.CCM haijawahi kufanya chochote cha maana hata miradi yote mikubwa ina ufisadi, Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo kabsa ndiyo maana wapinzani hupinga vyote vya CCM kwani vimejaa magumashi kibao, hakuna watanzania wameichagua CCM acha uzushi kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
Uelewa mdogo ulionaoNachukia Demokrasia ya Vyama vingi kwa nchi changa kama hii.
Pole, ili kukudhihirishia sio mpumbavu. wameshamuachia.Umeona enheeee, kwa kweli yule mpumbavu asiachiwe kiurahisi hivyo....inabidi asote kwanza ili ajifunze adabu.
Najua walimuonea huruma lakini hakustahili kuachiwa, ilibidi ashikishwe adabu kwanzaPole, ili kukudhihirishia sio mpumbavu. wameshamuachia.
Tua mzigo huo!
Wewe ni dictator Nani auliwe maana hata wewe ni mubishi Sana kwa hyo uuliwe.?Ngoja nikuonyeshe ya kuwa hujajibu swali. Kwako wewe umechukulia ya kuwa alicho kifanya lisu ni katika shughuli yake. Hii haiwezi kuwa shughuli sababu sababu yuko chini ya dola na anachofanya ni uchochezi,na asiye tii mamlaka na mchochezi haki yake ni hiyo.
Hii mifumo ya kijinga watu wanadekezana sana, angalia nchi zilizo fikia utimilifu wa kiutawala watu wajinga na wachochezi na wasio kubali kushindwa na wenye kuhatarisha amani haki yake ni kuuwawa. Hakuna jambo adhimu kama Amani.
Pole!Najua walimuonea huruma lakini hakustahili kuachiwa, ilibidi ashikishwe adabu kwanza
Pole mimi, mbona sijakamatwa?Pole!
Hivi wewe wa wapi hasa! Mbona hata wasenge wana afadhali!Nimecheka sana. Hivi inakuwaje mnayajadili mambo msiyo jua hakika yake ? Mjinga kama wewe huwa tunakupa udhuru na amani, na kukupuiza pia, haturudishii neno baya zaidi ya kukusimamishia hoja...
Wakati tunaibiwa makinikia chama gani kilikuwa madarakani?Shukuru CCM inawaletea maendeleo hayo finyu na kukamata makinikia na mali mlizokuwa mnaibiwa huko nyuma...wangekuwa hawa wapinzani ndiyo wameshika nchi basi mngelia sana.
JPM Mara kampeni, Barrick wamelipa 100m, $, nyingine watalipa kwa awamu in some years , UDSM 5m ,elimu madini, barabara.......plus 16% share ( Jua awali tulikiwa na 15 haohao ccm wakaziuza ) hiyo toka 300$ pekee, hakuongelea zile trillion 490!Shukuru CCM inawaletea maendeleo hayo finyu na kukamata makinikia na mali mlizokuwa mnaibiwa huko nyuma...wangekuwa hawa wapinzani ndiyo wameshika nchi basi mngelia sana.
God hampendi Lissu! Mateso aliyopitia mpaka kura ameshindwa vibaya sana, kazidiwa kwa mbali na mzee Lowassa, ni aibu.Oh, OUR MANDELA. Keep on Brother. God be with you Lissu
Wamemkamata kisha kumwachia huru. Hii ni baada ya kubaini wame-mbip Amsterdam
Yaani wana bipu halafu wanafunga simu! Watajabiwa tu kwasababu hiyo ni 'alert'
Kitendo hicho ni kumpa Amsterdam platform na sasa wasubiri mvua ya 'aibu'
Wanahangaika, nafsi zinawasuta, umma umesusa, chuki imetamalaki! wanajisikia upweke na ukiwa
Kadri wanavyojitahidi ndivyo wanavyozidi kujichafua.
Mambosasa anapiga ramli ambazo mbele ya mahakama hazisimami hata kama ni mahakama ya CCM.
Mtu hashtakiwi kwa kudhani, lazima uwepo ushahidi. RPC angesindikiza maandamano na wale wanaojaribu kufanya vurugu ndio ungekuwa ushahidi. Sasa hivi hana ushahidi ana hisia na dhania tu
Pole!Pole mimi, mbona sijakamatwa?