Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Niilikutegea nikuone tayari umenasa wewe mbumbumbu juha zuzu Tambua kuwa kipimo za uzezeta ufala hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kishamba lakini hakuna anayehangaika nayo, wenye Akili timamu wapo busy na mada, wewe Mbona huna kazi na unakataa maandamano ya Amani? Uchaguzi upi umepita? Hakuna uchaguzi Tanzania zaidi ya vioja na maigizo ya kuuhadaa ulimwengu kuwa Tanzania kulikuwa na uchaguzi
Nakusikitikia sana, narudia...jipige vidole kwa kishindo utokwe na povu....hasira zako zitaisha tu. Wananchi tuliojiandikisha tulipiga kura, kama wewe hujapiga ni shida yako.....hupendezwi hama nchi.
 
CCM haijawahi kufanya chochote cha maana hata miradi yote mikubwa ina ufisadi, Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo kabsa ndiyo maana wapinzani hupinga vyote vya CCM kwani vimejaa magumashi kibao, hakuna watanzania wameichagua CCM acha uzushi kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
Shukuru CCM inawaletea maendeleo hayo finyu na kukamata makinikia na mali mlizokuwa mnaibiwa huko nyuma...wangekuwa hawa wapinzani ndiyo wameshika nchi basi mngelia sana.
 
Ngoja nikuonyeshe ya kuwa hujajibu swali. Kwako wewe umechukulia ya kuwa alicho kifanya lisu ni katika shughuli yake. Hii haiwezi kuwa shughuli sababu sababu yuko chini ya dola na anachofanya ni uchochezi,na asiye tii mamlaka na mchochezi haki yake ni hiyo.

Hii mifumo ya kijinga watu wanadekezana sana, angalia nchi zilizo fikia utimilifu wa kiutawala watu wajinga na wachochezi na wasio kubali kushindwa na wenye kuhatarisha amani haki yake ni kuuwawa. Hakuna jambo adhimu kama Amani.
Wewe ni dictator Nani auliwe maana hata wewe ni mubishi Sana kwa hyo uuliwe.?
 
Shukuru CCM inawaletea maendeleo hayo finyu na kukamata makinikia na mali mlizokuwa mnaibiwa huko nyuma...wangekuwa hawa wapinzani ndiyo wameshika nchi basi mngelia sana.
JPM Mara kampeni, Barrick wamelipa 100m, $, nyingine watalipa kwa awamu in some years , UDSM 5m ,elimu madini, barabara.......plus 16% share ( Jua awali tulikiwa na 15 haohao ccm wakaziuza ) hiyo toka 300$ pekee, hakuongelea zile trillion 490!

Wala ajia zaidi 2000 Watanzania wamepoteza saga makinikia, viwanda ,biashara,....hiyo $300M, ni kama pato la mwezi pekee migodi ikiwa ktk fully operation.Tumepoteza Barrick, pia tumepoteza imani wawekezaji wakubwa wapya!! Watanzania wwnzetu walipoteza ajira na maisha wategemezi.....hasara ni zaidi ya faida alizodai!!!
 
Wamemkamata kisha kumwachia huru. Hii ni baada ya kubaini wame-mbip Amsterdam
Yaani wana bipu halafu wanafunga simu! Watajabiwa tu kwasababu hiyo ni 'alert'

Kitendo hicho ni kumpa Amsterdam platform na sasa wasubiri mvua ya 'aibu'

Wanahangaika, nafsi zinawasuta, umma umesusa, chuki imetamalaki! wanajisikia upweke na ukiwa
Kadri wanavyojitahidi ndivyo wanavyozidi kujichafua.

Mambosasa anapiga ramli ambazo mbele ya mahakama hazisimami hata kama ni mahakama ya CCM.
Mtu hashtakiwi kwa kudhani, lazima uwepo ushahidi. RPC angesindikiza maandamano na wale wanaojaribu kufanya vurugu ndio ungekuwa ushahidi. Sasa hivi hana ushahidi ana hisia na dhania tu

Ww Utakuwa Mama Wa Nyumbani. Umeandika Pumba Tupu Tena Kutegemea Huyo Shoga Amsterdam Kajitu Ambako Hakana Msaada Wowote Zaid Ya Kushinda Twitwer
 
Back
Top Bottom