Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
VIJANA wa Tanzania mnapenda maisha mazuri lakini hamtaki kuyapigania. Huko kwa wenzetu walivikuta vyaelea au walivipigania na kuvisimamia? Usipojenga misingi imara ya haki na demokrasia utapata vipi uhuru wa kufurahia maisha mazuri? MUDA ni sasa au mjute kuanzia January 2021Serikali inavyofanya haikubaliki katika nchi nyingi za wenzetu. Maandamano ya Amani sio kosa ila serikali inaogopa picha yake kupakwa tope. Waziri wa mambo ya nje wa US mike pompeo kahoji hali inayoendelea na akisema suu tunaelekea walikokua zimbabwe
Hukumu ya haki ya mwizi si kuchomwa moto, ndiyo maana hawaishi bibie.Wezi mnawachoma moto kila siku je wizi umeisha?
Leo hii wapo sababu sheria ya kuwauwa haitumiwi, sasa chukulia ingekuwa inatumiwa.Nilijua hao mashoga na wasagaji waliuliwa kipindi cha Sodoma na Gomora kumbe wamezalika wengine? Hahaha
Ujinga wangu katika hili huwezi kuuthibitisha mpaka pumzi yako ya mwisho.Acha ujinga unadhani watu wakiuliwa kama unavyotaka, wewe ndio utapewa pepo? Tena wewe ni kuni ya kuchochea wengine lol.
Hukumu ya haki ya mwizi si kuchomwa moto, ndiyo maana hawaishi bibie.Wezi mnawachoma moto kila siku je wizi umeisha?
Leo hii wapo sababu sheria ya kuwauwa haitumiwi, sasa chukulia ingekuwa inatumiwa.Nilijua hao mashoga na wasagaji waliuliwa kipindi cha Sodoma na Gomora kumbe wamezalika wengine? Hahaha
Ujinga wangu katika hili huwezi kuuthibitisha mpaka pumzi yako ya mwisho.Acha ujinga unadhani watu wakiuliwa kama unavyotaka, wewe ndio utapewa pepo? Tena wewe ni kuni ya kuchochea wengine lol.
Jikaze kijana kisha rejea kule nilipokwambia umefanana sana kitabia na mke wangu wa tatu.An asshole.
Hakuna uoga hapo, bali nimekuonyesha kile ambacho kimeshaandikwa ya kuwa waja tunatakiwa tuombe mwisho mwema, sababu naweza kulala mwema nikaamka muovu, na kinyume chake ni ukweli.Kwa roho yako mbaya na ukatili wa kuua watu hiyo pepo utaionea wapi?
Wewe ni kuni tena mbichi, jiandae kuchomwa.
Tena nakwambia utakufa kifo cha majuto, chenye kiu na mateso, utakufa mdomo wazi.
(Muone alivyoanza kuogopa hahaha [emoji83][emoji88])
VIJANA wa Tanzania mnapenda maisha mazuri lakini hamtaki kuyapigania. Huko kwa wenzetu walivikuta vyaelea au walivipigania na kuvisimamia? Usipojenga misingi imara ya haki na demokrasia utapata vipi uhuru wa kufurahia maisha mazuri? MUDA ni sasa au mjute kuanzia January 2021
Sana, wamekalia kulalamika tu, na kuomba omba bia, hajui kesho itakuaje, tunawaachia akina Lissu peke yake wapambane, hii ni hatari sanabila shaka vijana tuna malengo ya badae, vijana tuna mipango na taifa letu na vijana lazima tupambanie future yetu. Ukimuona kijana anafurahia hali inayoendelea Tanzania lazime tuwe na shaka nae. Serikali imeipaka nchi mafuta njiti ikidondoka tu inawaka
Usipende kuonyesha ujinga wako hadharani kwa kujifanya mjuaji wa mambo usiyoyajua, Passport, Kitambulisho cha NIDA, Leseni ya Gari na nyaraka nyingine wanazopewa wananchi na Serikali inabaki ni mali ya aliyepewa hata kama kwa sababu yoyote ile itarudi Serikalini na hakuna mtu mwingine atapewa hata kama ilikuwa mpya.Passport yetu na Mali ya Serikali ya JMTZ yetu inaweza kuchukuliwa muda wowote ule na Serikali, Kibali cha uwakili Tanzania ni mai ya Serikali ya JMTZ na kinaweza kuondolea muda wowote ule muulize Fatuma, ...
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa kwenue ustaarabu ndiyo huwa mnalibaka hili neno.
Lakini nakupa udhuru bibie...
Ni kaa la moto wamemwachia bila masharti.Mkuu, jana si ulisema wanamwogopa?
Usipende kuonyesha ujinga wako hadharani kwa kujifanya mjuaji wa mambo usiyoyajua, Passport, Kitambulisho cha NIDA, Leseni ya Gari na nyaraka nyingine wanazopewa wananchi na Serikali inabaki ni mali ya aliyepewa hata kama kwa sababu yoyote ile itarudi Serikalini na hakuna mtu mwingine atapewa hata kama ilikuwa mpya...
Mshamba akililia wembe mpe umkate pale pale. Limbukeni akililia moto mpe umchome pale paleHapa wamemwalika Amsterdam , ni kama wameialika dunia.
Tuongeeni sasa maana ipo siku tutaamka na kuwapigia simu Iran kuwauliza wame survive vipi.
Nani kakwambia magufuli ana mpango wa kustaafu ?
Labda astaafishwe kinguvu
24 hours kwenye mambo ya siasa kukandamiza upinzani wakati magaidi huko mtwara wanaingia na kuua watu.Vyombo vya usalama huwa wanafanya kazi masaa 24. Kama kuna njama mbaya walikuwa wanafanya mnataka wasikamatwe?
Mbona Queen Sendiga hajakamatwa?
Yenu na nani? CCM? Mnajisahahu mnafikiri Tanzania ni CCMSafi sana, akabidhi passport yetu, kibali chetu cha uwakili Tanzania.
Ndivyo unavyojidanganya?Inawezekana.
Lakini usidharau kabisa mfumo wa usalama wa Tanzania kwa sasa una uwezo mkubwa wa kunasa kila kitu ndani na nje ya mipaka.
Polisi wanafuata maagizo ya intelligence na mashine nzima ya ulinzi na usalama ili Tanzania iwe salama..
Unaakili za kipuuzi sana.Ngoja nikuonyeshe ya kuwa hujajibu swali. Kwako wewe umechukulia ya kuwa alicho kifanya lisu ni katika shughuli yake. Hii haiwezi kuwa shughuli sababu sababu yuko chini ya dola na anachofanya ni uchochezi,na asiye tii mamlaka na mchochezi haki yake ni hiyo.
Hii mifumo ya kijinga watu wanadekezana sana, angalia nchi zilizo fikia utimilifu wa kiutawala watu wajinga na wachochezi na wasio kubali kushindwa na wenye kuhatarisha amani haki yake ni kuuwawa. Hakuna jambo adhimu kama Amani.