peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Robert Amsterdam tafadhaliTaarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar.
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
Taarifa kwa kina zinakuja...
Lissu asifikiri anaogopwaVery bad move, indeed very bad.
Wanakosea sana.Basi sawa.
Manake huko ndani wameeleza mipango yote na nani ni mastermind
Hata wewe Nyani Ngabu umeona eeh!Bad move!
Kosa ni kugombea rais dhidi ya "jiwe mtu" au nini? Mijitu mingine ni shida tupu.Roho mbaya na sura vile vile! Muujiza wa Burundi bora utokee tz.Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar.
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
Taarifa kwa kina zinakuja...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mlienda kuandamana?Unnecessary foolish move!
Why sir? Amandla...Bad move!
Take that!Hata wewe Nyani Ngabu umeona eeh!
Hii ni ishara kuwa pengine hata bodyguard wa Pombe hafurahishwi na mambo ya Pombe
Kuna wimbo leo askari wa majeshi wameuimba Zanzibar mbele ya rais wa Zanzibar. Nafikiri usidhanie Tanzania ni Liberia.Serekali imedhamiria kwa dhati kujipindua yenyewe naona.
Because, sir.Why sir?
Amandla...
Kama sababu zipo na polisi wanaweza ku-justfy ni sawa tu.Wanakosea sana.
Magufuli anajiharibia mno.
Kamanda Lissu tunakuombea yana mwishoTaarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar.
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
Taarifa kwa kina zinakuja...
Kumbe unajuaBad move!
Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar.
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
Taarifa kwa kina zinakuja...
Hakuna sababu zingine zaidi ya zile za kisiasa.Kama sababu zipo na polisi wanawea kujustfy ni sawa tu.
Hata huko Ulaya na Marekani polisi wanaaminiwa kwelikweli kwa kazi zao.
Tuache sheria ichukue mkondo wake.
Kama hawana makosa wataachiwa.
Sio anajiharibia anatuharibia sisi raia wa kawaidaWanakosea sana.
Magufuli anajiharibia mno.
Kumbe ndio maneno😐😐Mkuu, jana si ulisema wanamwogopa?