Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Hofu ya nini kama CCM imeshinda kwa haki?
 
Namna ya uandishi wako inaonyesha you lack a very basic human character "Msimamo" I sincerely told you in my past reply "I will keep (that particular post) in my Vaults"
You don't listen what you are writing but I know your trying to dig out a bit about me.

There is a post here I gave tips of what I do for a living.

I have strong team of about 1000 people who call me young boss because I m a humble person.

Also in my profile I briefly described myself to have sense of humor.

But at my workplace they know me when it comes the question of man of principle, there is not doubt about that.

This JF is just a forum and we are just foraging this platform with blanket of fake names and it's a mix of few chosen ones and keyboard warriors.
 
mkuu kwa wakati huu bado kuna baadhi yetu wanashiba. utafika muda kila mtu ana njaa but it will be too late. acha washangilie shida za wengine ila utafika muda yanakufika. Katili na dikteta hana rafiki wa kudumu.
Na ninachoamini, heri ya hao wanaoshiba utasema ni wabinafsi wanaotetea matumbo lakini am very sure wengine ni malofa wenzetu tu wanaoishi kwa dada zao, na wale wanaokaa kwao basi ni kwenye chumba kimoja choo nje kama sie wengine!

Hawa wanasukumwa sana na Ungosha, and nothing else.

Lakini kama unavyosema, iwe ni wale wenye neema au akina sie, itafika wakati mfumo huu katili utakuwa uchagui, na mfano mdogo ni kwenye hii issue ya Internet... yaani wanaumia waliomo na wasiokuwemo lakini wanaona aibu kusema!!! Yaani wanakufa kifo cha kizungu na tai shingoni!
 
Mibavicha imepoteana, hakuna maandamano na Lissu wao kakamatwa. Leo na kesho atalala chini
Mwisho wa siku itakua sio tu mibavicha kupoteana, huu utakua mpoteano wa wananchi wote tutatafutana sana huko mbeleni kwa sasa fikira zetu zimefungwa ndio maana tunaona watu dhaifu kama wewe mnashangilia anguko la upinzini. Muda unasonga wakati utafika.
 
Ni kweli wapo wanufaika wa mfumo but amini usiamini, majority ya hawa wa JF ni malofa wenzetu tu wasio na mbele wala nyuma, huku wakiwa wanaishi kwenye chumba kimoja cha kupanga Uswahilini na choo cha nje!!!

Wengine hata kazi zenyewe hawana, yaani mabwege tu huku wengine kwavile Rais ni Ngosha na wao ni Ngosha, ndo basi tena... wanachukulia ni urais wa akina Ngosha na kwahiyo wana wajibu wa kumtetea Ngosha mwenzao hata kwa mambo ya kijinga!!!
Wanufaika wa mfumo kandamizi kipindi kama hiki hunufaika kupita blackmail kuwabambikia kesi watu mbalimbali kutengeneza Rushwa na pia kuwakomoa watu humo humo, mfano ni tabia ya TRA kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara na baadhi kupewa kesi za uhujumu uchumi na pia BOT kuwapora wafanyabiashara pesa zao kuwatishia kesi za utakatishaji fedha mpaka kupelekea wafanyabiashara wengi kufungua A/C kenya Uganda Zambia ambapo Benk kuu za huko hazina uonevu kwa wafanyabiashara.
 
Wananchi wamemkataa kwa kura nyingi Sana ana hangaika nini huyu kibaraka wa mabeberu??
 
Nimejibu.

Sema hujaelewa.
Ngoja nikuonyeshe ya kuwa hujajibu swali. Kwako wewe umechukulia ya kuwa alicho kifanya lisu ni katika shughuli yake. Hii haiwezi kuwa shughuli sababu sababu yuko chini ya dola na anachofanya ni uchochezi,na asiye tii mamlaka na mchochezi haki yake ni hiyo.

Hii mifumo ya kijinga watu wanadekezana sana, angalia nchi zilizo fikia utimilifu wa kiutawala watu wajinga na wachochezi na wasio kubali kushindwa na wenye kuhatarisha amani haki yake ni kuuwawa. Hakuna jambo adhimu kama Amani.
 
Wewe ni takataka narudia tena, hao jamaa wako hapo Mozambique mwaka wa tatu sasa

Haya majibu ya kijinga mnapofeli sehem mnasingizia uzalendo , sijui mabeberu , mnajifanya kua victim, ujinga mtupu, mkijadili huko lumumba acheni huko huko lumumba msije jiabisha mbele za watu, shenz
Uzalendo wa CCM ya sasa ni kuwabambikia kesi kesi unyanyasaji uonevu matesa kwa wapinzani
 
Wanufaika wa mfumo kandamizi kipindi kama hiki hunufaika kupita blackmail kuwabambikia kesi watu mbalimbali kutengeneza Rushwa na pia kuwakomoa watu humo humo, mfano ni tabia ya TRA kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara na baadhi kupewa kesi za uhujumu uchumi na pia BOT kuwapora wafanyabiashara pesa zao kuwatishia kesi za utakatishaji fedha mpaka kupelekea wafanyabiashara wengi kufungua A/C kenya Uganda Zambia ambapo Benk kuu za huko hazina uonevu kwa wafanyabiashara.
Lakini yote yana mwisho haya, na mwisho wa ubaya always ni aibu!

Dunia ilishawahi kuwa na viongozi mafia huku magenge yao na wenyewe ni mafia kweli kweli lakini hawakudumu milele manake pamoja na umafia wao ilifika wakati wananchi wakasema enough is enough, seuze hawa mburula wenye umafia wa kuiga kwa sababu tu wapo kwenye power!!
 
Kati ya marais watakaokuja kukumbukwa kwa mabaya zaidi kuliko mazuri. Fortunately yeye mwenyewe analijua hilo ndio maana anakazana kujenga vitu na kununua vitu ili watu wakiviona wamkumbuke ila hajui kuwa material things ni vyakupita tu real legacy haijengwi kwa material things.
Acha kukariri sana, hata waliowamwagia mipesa mliwatukana
 
Ngoja nikuonyeshe ya kuwa hujajibu swali. Kwako wewe umechukulia ya kuwa alicho kifanya lisu ni katika shughuli yake. Hii haiwezi kuwa shughuli sababu sababu yuko chini ya dola na anachofanya ni uchochezi,na asiye tii mamlaka na mchochezi haki yake ni hiyo.

Hii mifumo ya kijinga watu wanadekezana sana, angalia nchi zilizo fikia utimilifu wa kiutawala watu wajinga na wachochezi na wasio kubali kushindwa na wenye kuhatarisha amani haki yake ni kuuwawa. Hakuna jambo adhimu kama Amani.
Lissu kachochea nini?

Unatapika pumba tu.
 
Back
Top Bottom