Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,718
- 3,488
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ubalozi kitu ganiHicho ndio walichokuwa wanataka na Polisi wameingia mkenge na mnamkamata nje ya ubalozi!
Haya makamasi ndiyo mnamlisha mwendawazimu wenu?!Hamna upinzani wewe. 2025 wote watakuwa wanapigania hali zao individually
Wananchi wa wapi hao wameipigia CCM kura? Nchi gani huko? Maana Tanzania hakuna mwananchi mwenye Akili timamu anaweza kuipa CCM kura yake, wewe kibaraka wa polepole acha kujitoa fahamu Tambua kuwa Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika bali CCM imeulawiti na kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetaniWananchi wamemkataa kwa kura nyingi Sana ana hangaika nini huyu kibaraka wa mabeberu??
Unasapotiwa na 84% unaanzaje kuwa na hofu?Serikali ya Magufuli ina behave kama vile haijashinda!
Mabavu ya nini kama kweli wameshinda kihalali na hiyo mandate ya zaidi ya asilimia 80??
Go figure!Unasapotiwa na 84% unaanzaje kuwa na hofu?
Ni serikali ya kupenda kesi kesi kesi wanatumia Polisiccm kudidimiza demokrasiaSerikali ya Magufuli inataswira ya utoto.
Na hiki kinachofanyika ndiyo utoto wenyewe.
Mimi sikutegemea kama kuna
yaani muwavuruge wananchi wapenda amani kisa ruzuku??Hofu ya nini kama CCM imeshinda kwa haki?
Hahahahahaaaaa ...Alafu kwanini wamempeleka kama biharusi?
alitakiwa afike kituoni uso umehama sehemu yake.
Mbona unahangaika nayo sasa? Si uiache basi wewe dada?Hii serekali ni dumb government!Inaenda kujilawiti yenyewe
CCM wanatumia mbinu za kishamba haramu za kishetani, Tatizo la CCM wanatumia washauri wabaya kutekeleza njia zao za kuihujumu kuidhoofisha chadema, kitendo cha CCM kumtumia cyprian Musiba kama mshauri mkuu wa mambo ya hovyo Huko CCM ndiko kumeifanya CCM kuendelea kujidhalilishaHii siyo approach nzuri ya kuishi na wapinzani. Upinzani haufi kwa style hii.
Holy Cow...look at what you did, LOOK AT WHAT YOU DID!!..You don't listen what you are writing but I know your trying to dig out a bit about me.
There is a post here I gave tips of what I do for a living.
I have strong team of about 1000 people who call me young boss because I m a humble person.
Also in my profile I briefly described myself to have sense of humor.
But at my workplace they know me when it comes the question of man of principle, there is not doubt about that.
This JF is just a forum and we are just foraging this platform with blanket of fake names and it's a mix of few chosen ones and keyboard warriors.
Vipi mkuu mbona hatuwaoni barabarani?Ni serikali ya kupenda kesi kesi kesi wanatumia Polisiccm kudidimiza demokrasia
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu leo hii wapo wapi?Nakumbuka kisa cha Kiburi cha Farao kwa Mungu dhidi ya Wanaisrael
Kiruuuu[emoji849][emoji848]
Lissu kachochea nini?
Unatapika pumba tu.
[emoji38]Si mlemavu!
Hivi sababu ya kutoakufanikiwa kwa maandamano yenu ni nini?Lakini yote yana mwisho haya, na mwisho wa ubaya always ni aibu!
Dunia ilishawahi kuwa na viongozi mafia huku magenge yao na wenyewe ni mafia kweli kweli lakini hawakudumu milele manake pamoja na umafia wao ilifika wakati wananchi wakasema enough is enough, seuze hawa mburula wenye umafia wa kuiga kwa sababu tu wapo kwenye power!!
Maandamano tarehe 2 nyinyi waoga tarehe 1 mkaenda kuwakamata mwenyekiti kumbambikia kesi kuwatishia waandamanaji, ni kwa nini hamjasubiria tarehe 2 ? Kwa nini mnakuwa waoga wakati ni maandamano ya Amani tu?Vipi mkuu mbona hatuwaoni barabarani?