Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Wananchi wamemkataa kwa kura nyingi Sana ana hangaika nini huyu kibaraka wa mabeberu??
Wananchi wa wapi hao wameipigia CCM kura? Nchi gani huko? Maana Tanzania hakuna mwananchi mwenye Akili timamu anaweza kuipa CCM kura yake, wewe kibaraka wa polepole acha kujitoa fahamu Tambua kuwa Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika bali CCM imeulawiti na kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Serikali ya Magufuli inataswira ya utoto.

Na hiki kinachofanyika ndiyo utoto wenyewe.
Ni serikali ya kupenda kesi kesi kesi wanatumia Polisiccm kudidimiza demokrasia
 
Hii siyo approach nzuri ya kuishi na wapinzani. Upinzani haufi kwa style hii.
CCM wanatumia mbinu za kishamba haramu za kishetani, Tatizo la CCM wanatumia washauri wabaya kutekeleza njia zao za kuihujumu kuidhoofisha chadema, kitendo cha CCM kumtumia cyprian Musiba kama mshauri mkuu wa mambo ya hovyo Huko CCM ndiko kumeifanya CCM kuendelea kujidhalilisha
 
You don't listen what you are writing but I know your trying to dig out a bit about me.

There is a post here I gave tips of what I do for a living.

I have strong team of about 1000 people who call me young boss because I m a humble person.

Also in my profile I briefly described myself to have sense of humor.

But at my workplace they know me when it comes the question of man of principle, there is not doubt about that.

This JF is just a forum and we are just foraging this platform with blanket of fake names and it's a mix of few chosen ones and keyboard warriors.
Holy Cow...look at what you did, LOOK AT WHAT YOU DID!!..

Afande 🥱..Do you remember early on I said you were bragging na unajaribu kuuza uoga? This is outrageous. Watu wa aina yako ni proud for nothing simpletons, halafu you mentioned umepita na JKT tena una nyota! Dang'it! Now I feel sorry for the 1000
 
Lakini yote yana mwisho haya, na mwisho wa ubaya always ni aibu!

Dunia ilishawahi kuwa na viongozi mafia huku magenge yao na wenyewe ni mafia kweli kweli lakini hawakudumu milele manake pamoja na umafia wao ilifika wakati wananchi wakasema enough is enough, seuze hawa mburula wenye umafia wa kuiga kwa sababu tu wapo kwenye power!!
Hivi sababu ya kutoakufanikiwa kwa maandamano yenu ni nini?
 
Vipi mkuu mbona hatuwaoni barabarani?
Maandamano tarehe 2 nyinyi waoga tarehe 1 mkaenda kuwakamata mwenyekiti kumbambikia kesi kuwatishia waandamanaji, ni kwa nini hamjasubiria tarehe 2 ? Kwa nini mnakuwa waoga wakati ni maandamano ya Amani tu?
 
Back
Top Bottom