uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,084
Unadhani kaingia na kutoka kama kaenda chooni. Wait and seeVip kiongozi
Ameshashughulikiwa?
Kama bado nenda kakate rufaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani kaingia na kutoka kama kaenda chooni. Wait and seeVip kiongozi
Ameshashughulikiwa?
Kama bado nenda kakate rufaa
Wewe ni kiazi. Nini cha maana tu aweza kujifunza kwenye nchi zenye tabia hizo za kishenzi hadi tuzifanye rejea? Rais ni binadamu na raia sawa na wengine.Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania ni wapole sana, yaani nchi kama Rwanda, au Urusi unatukana rais matusi yote na kebehi na kuhamasisha UASI na kisha unakimbilia Ubalozi wa nchi ya kigeni bado wanakuchekea tu! Rwanda hata ukienda "Jupter" unadakwa huko huko... Ifike wakati Tanzania tuwe wakali kama ilivyokuwa enzi za Nyerere....
Watoto wa kizazi kipya eti wanaogopa vikwazo...watu tuliwekewa vikwazo hadi majivu na mkaa yakawa "colgate" sanda za kuzikia zikawa kaunda suti.....pumbavu kabisa!
Obviously. Ndiyo maana wametoka kwenye kunadi sera, sasa wanazua shari. Ni kama vile naiona ripoti yao waliyoandaliwa mapema na wale jamaa waliowaahidi kuwaunga mkono, ikiwa na MIANYA mingi ambayo walitegemea ingejazwa baada ya kutokea athari za ghasia & machafuko ambayo yangesabishwa na wao wenyewe. Walikuwa wanavichokoza na kuvichokonoa vyombo vya dola kwa makusudi ili wapate sababu; halafu, wale wataalamu wa vita jinsi walivyo makini na wanavyoifahamu kazi yao, wanakusoma mapema na kukupuuza.Chama chochote cha siasa kikishindwa mara nyingi hugeuka kutoka chama cha siasa na kua kikundi cha uasi.
Dalili kubwa za kundi na uasi ni kuanza kudai uhuru ambao tayari inchi inao.
Wakati mwingine kundi la waasi huona serikali iliyopo si halali kuongoza nchi.
Serikali iliyopo inatakiwa kufuatilia kwa ukaribu kabisa nyendo za watu hao kwa sababu nia na malengo yao ni kuhatarisha usalama wa nchi.
Asili ya Chadema ingekuwa Mara labda wangejaribu, ila wengine ni pesa tu...piga sana ruzuku...matozo ya kijinga kwa wabunge wa chama hicho...ila kusema hata waanzishe kitengo cha inteljensia ya chama wameshindwa hadi wanadakwa na Muroto kama panzi!Chama chochote cha siasa kikishindwa mara nyingi hugeuka kutoka chama cha siasa na kua kikundi cha uasi.
Dalili kubwa za kundi na uasi ni kuanza kudai uhuru ambao tayari inchi inao.
Wakati mwingine kundi la waasi huona serikali iliyopo si halali kuongoza nchi.
Serikali iliyopo inatakiwa kufuatilia kwa ukaribu kabisa nyendo za watu hao kwa sababu nia na malengo yao ni kuhatarisha usalama wa nchi.
Maandamano & Sheria HusikaWewe ni kiazi. Nini cha maana tu aweza kujifunza kwenye nchi zenye tabia hizo za kishenzi hadi tuzifanye rejea? Rais ni binadamu na raia sawa na wengine.
Nchi si mali ya Chama, familia au ukoo. Nchi inaongozwa kwa Sheria, yeyote anayekosea apelekwe mahakamaani na kushitakiwa kwa haki, siyo ashughulikiwe kwa hisia tuu. Hatuwezi kuendesha nchi km familia, baba anataka, baba anasema, nchi haiendi hivo!!
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Wameoza kaburiniWalikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu wapo wapi?
Hii ‘yetu’ na ‘chetu’ inaweza kukuponza! Huna ,chako’ wala hushiriki ‘chetu’ chochote, labda buku 7 yako na bando la internet ulilopewa kuendesha propaganda uchwara! Mind your language, kama bado unataka kuendelea na umbea!!Safi sana, akabidhi passport yetu, kibali chetu cha uwakili Tanzania.
Hii ‘yetu’ na ‘chetu’ inaweza kukuponza! Huna ,chako’ wala hushiriki ‘chetu’ chochote, labda buku 7 yako na bando la internet ulilopewa kuendesha propaganda uchwara! Mind your language, kama bado unataka kuendelea na umbea!!
Kawaida kenge, mpaka atokwe damu masikioni! Ngoja ‘komredi kipepe’, Polepole aone hizi ‘yetu’ ‘chetu’ zako ndo utajua maarage hutengeneza bomu la maangamizi silently!Kwa hiyo unanitisha au? Tundu arudishe passport yetu, ...
Mimi sikuwahi kumzodoa [emoji23][emoji23][emoji23]Usisahau ndiye mliyemzodoa ile mbaya kwamba ni VERY WEAK leader. "Mwenzenu mlisema mie mpolempole hivi; sasa dawa nimewaleteeni mkali!" Halafu sishangai sana maana unadhani legacy nzuri ya Rais ni "kualikwa" na "kualika" hao jamaa watesaji wa Bara la Afrika.
Asili ya Chadema ingekuwa Mara labda wangejaribu, ila wengine ni pesa tu...piga sana ruzuku...matozo ya kijinga kwa wabunge wa chama hicho...ila kusema hata waanzishe kitengo cha inteljensia ya chama wameshindwa hadi wanadakwa na Muroto kama panzi!
Maandamano & Sheria Husika
Sheria ya Jeshi la Polisi ya mwaka 1961 na marekebisho yake ya mwaka 1995, ambayo ndiyo huelekeza na kuongoza kuhusu njia na namna ya kuendesha maandamano nchini, inasema:
(1) Mtu yeyote ambaye ana mpango wa kufanya, kukusanya, kuunda au kupanga mkusanyiko au maandamano ya hadhara, kwa muda usiopungua saa 48 kabla ya mkusanyiko au maandamano kwa muda uliopangwa kuanza, atawasilisha kwa maandishi notisi kuhusu kufanyika kwa mkusanyiko au maandamano hayo kwa afisa polisi msimamizi wa eneo hilo akianisha:
(a) Sehemu na muda ambao mkutano utafanyika;
(b) Dhumuni kwa ujumla kuhusu mkutano huo; na
(c) Maelezo mengine kama Waziri atakavyotangaza kwa notisi, mara kwa mara kwenye Gazeti la Serikali.
(2) Pale ambapo mtu amewasilisha taarifa kulingana na kifungu kidogo cha (1), anaweza kuendelea kuitisha, kukusanya, kuunda, au kuandaa mkusanyiko au maandamano hayo kama yalivyopangwa isipokuwa pale atakapopokea amri kutoka kwa afisa polisi msimamizi wa eneo husika ikielekeza kwamba mkusanyiko au maandamano hayo hayatafanyika kama ilivyotaarifiwa.
(3) Afisa polisi ambaye taarifa imewasilishwa kwake kulingana na kifungu kidogo cha (1), hatatoa amri ya kusitisha chini ya kifungu kidogo cha (2) kulingana na taarifa husika, isipokuwa ameridhika kwamba kufanyika kwa mkusanyiko au maandamano hayo kuna uwezekano wa kusababisha kuvunjika kwa amani au kuathiri usalama wa taifa au kudumisha amri kwa umma au kutumika kwa dhumuni lolote lisilokuwa halali.
Hii ndiyo sheria inayoongoza Jeshi la Polisi kwa maana rahisi maandamano ni mpaka pale jeshi la polisi limekubali na kutoa kibali baada ya waandamanaji kuomba kibali hicho.
Vyovyote vile, kuhusu maandamano hayo, jeshi la polisi linapaswa lijiridhishe pasipo shaka kuwa hayahatarishi maisha au kuleta madhara yoyote na hayataingilia haki za watu wengine ambao hawataki kuandamana.
NINI KINACHOWEZA KUTOKEA?
Kinachoweza kutokea baada ya katazo la jeshi la polisi, ni kujitokeza kwa watu wenye nia ya kutaka kuandamana kwa nguvu. Ukifanya hivyo moja kwa moja utakuwa unatenda kosa la UHAINI ambalo ndilo kosa kubwa kuliko yote nchini kwa mujibu wa ibara ya 28 ya Katiba yetu.
Sheria inasema kwamba kama ukifanya yafuatayo utakuwa umefanya uhaini katika Jamhuri ya Muungano:
(a) Kifungu cha 39 (1) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote akajaribu kumuua Rais, atakuwa ametenda uhaini.
(b) Mtu yeyote aliye ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote akaanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano atakuwa naye ametenda kosa la uhaini.
(c) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri, kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, au kufungwa kwa Rais atakuwa ametenda uhaini.
(d) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondoa Rais madarakani visivyo halali atakuwa ametenda kosa la uhaini.
(e) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondolea Rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi mkuu wa serikali atakuwa ametenda kosa la uhaini.
(f) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kupindua serikali iliyo madarakani, kutishia serikali, bunge au mahakama atakuwa ametenda kosa la uhaini.
ADHABU
Kwa mtu yeyote atakayekutwa na hatia ya kutenda kosa la uhaini, adhabu yake ni kifo; na sheria hiyo ya kifo imeelezwa katika kifungu cha sheria namba 39 na 40 cha kanuni za adhabu.
Hivyo, Watanzania kwa umoja wetu tunapaswa kuzijua sheria za nchi yetu ili kuweza kujiepusha kutenda makosa ya jinai dhidi ya nchi yetu.