Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Anaenda kuwapiga mazezeta wa hili taifa na shuhuda fabricatedYakiwa yamesalia masaa kadhaa kufika kwenye mkesha mkubwa wa CHAKO LAZIMA KIWE CHAKKO.
Kila ninapouliza sehemu ya kulala naambiwa imejaa nijaribu sehemu nyingine.
Sijajua huo mkesha utakuwa na watu wengi kiasi gani ila wageni ni wengi sana hapa Dar es salaam.
#Ngoja tuone hiyo kesho.
sasa geust house ya nini tena na unakuja kukesha?🐒Yakiwa yamesalia masaa kadhaa kufika kwenye mkesha mkubwa wa CHAKO LAZIMA KIWE CHAKKO.
Kila ninapouliza sehemu ya kulala naambiwa imejaa nijaribu sehemu nyingine.
Sijajua huo mkesha utakuwa na watu wengi kiasi gani ila wageni ni wengi sana hapa Dar es salaam.
#Ngoja tuone hiyo kesho.
Watu ni wengi sanaAcha uongo wewe mfiadini
Ulitaka walale kwako au kwa ndugu zakoYakiwa yamesalia masaa kadhaa kufika kwenye mkesha mkubwa wa CHAKO LAZIMA KIWE CHAKKO.
Kila ninapouliza sehemu ya kulala naambiwa imejaa nijaribu sehemu nyingine.
Sijajua huo mkesha utakuwa na watu wengi kiasi gani ila wageni ni wengi sana hapa Dar es salaam.
#Ngoja tuone hiyo kesho.
I think ni kabla ya mkesha inakuwaje?sasa geust house ya nini tena na unakuja kukesha?🐒
Njoo uoneAcha uongo wewe mfiadini
Nakuja siwézi kukosa hiiYakiwa yamesalia masaa kadhaa kufika kwenye mkesha mkubwa wa CHAKO LAZIMA KIWE CHAKKO.
Kila ninapouliza sehemu ya kulala naambiwa imejaa nijaribu sehemu nyingine.
Sijajua huo mkesha utakuwa na watu wengi kiasi gani ila wageni ni wengi sana hapa Dar es salaam.
#Ngoja tuone hiyo kesho.
Huyu ni mpigaji kama wapigaji wengine tueti mwamposa nae ni nabii! uswahilini kuna vituko
Mc Mshereheshaji ndio maana Hananja alistaafu uchungaji sasa ni Mc umemuona Pilipili ni Mc Masanja ni Mc Nwamposa ni Mc sio Nabii sio Mchungaji sio Mtume hayo majina ni kivumishi tu Ila ni Mc km Gala B ni Mc km Mpoki ni Mc km Dokta Cheni ni Mc km Zipompa ni Mc km Bi Mwendaeti mwamposa nae ni nabii! uswahilini kuna vituko
Mbona Wewe maskini jaribisha Hiyo biashara Si inalipa.Mc Mshereheshaji ndio maana Hananja alistaafu uchungaji sasa ni Mc umemuona Pilipili ni Mc Masanja ni Mc Nwamposa ni Mc sio Nabii sio Mchungaji sio Mtume hayo majina ni kivumishi tu Ila ni Mc km Gala B ni Mc km Mpoki ni Mc km Dokta Cheni ni Mc km Zipompa ni Mc km Bi Mwenda
Kuita watu na kuwajaza ni kuendesha sherehe yake yeye ya kila siku kufuatia Maokoto zaidi maana hakuna Mc anaefanya shughuli bure Mc yule anapokea Maokoto kila anaposimama kuzungumza kuanzia alipokua na Spika 1 pale Sinza Bar 1 na Maiki yake akipiga kelele akilitaja Jina la Yesu wenye Pesa wakamuona wakawekeza Pesa kwake aendelee na uMC wake kwa hio Ile ni Biashara km Biashara zingine shtuka
Ushaelewa?
Kajaribu na Wewe Mzee wa WestHapo ukikusanya sadaka wiki nzima si unaenda Bugatti
Ndio inalipa humuoni Jamaa alianza na Spika 1 pale Sinza walevi wakampa mtaji wakamwamisha na eneo leo ana Spika 100, una lingine la kuniambia Wewe MasikiniMbona Wewe maskini jaribisha Hiyo biashara Si inalipa.