Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Wewe kinakuuma nini ukiambiwa ukweli mchungu hakuna Mchungaji anaefanya huduma ya bure means Ile ni Biashara anakuuzia ManenoKajaribu na Wewe Mzee wa West
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kinakuuma nini ukiambiwa ukweli mchungu hakuna Mchungaji anaefanya huduma ya bure means Ile ni Biashara anakuuzia ManenoKajaribu na Wewe Mzee wa West
Hakuna kukosa na lazima nijibiwe na Mungu wanguYakiwa yamesalia masaa kadhaa kufika kwenye mkesha mkubwa wa CHAKO LAZIMA KIWE CHAKKO.
Kila ninapouliza sehemu ya kulala naambiwa imejaa nijaribu sehemu nyingine.
Sijajua huo mkesha utakuwa na watu wengi kiasi gani ila wageni ni wengi sana hapa Dar es salaam.
#Ngoja tuone hiyo kesho.
Nenda ukauziwe Maneno uzuri unajitambua unasema "lazima ujibiwe na Mungu" sio "lazima ujibiwe na Mwoposa" sasa cha ajabu baada ya kumwomba Mungu Wewe km Wewe unakimbilia kwenda kuombewa na Mwoposa hivi kuna Mungu Fala kiasi hicho na Mwoposa ataombewa na nani? Yaan Mungu anapokea maombi yako Wewe km Wewe sasa inamaanisha Wewe huna uwezo wa kujiombea mpaka ukimbilie kwa Mwoposa? Means Mwoposa ni mbadala wa Mungu kwako yaan akitoka Mwoposa anakuja Mungu? Umemuona Mungu Fala si ndio?Hakuna kukosa na lazima nijibiwe na Mungu wangu
wewe ndio unishtue mimi sasa? unahisi sifahamu kuwa hao kina mwambosa ni matapeli tu? nafahamu michezo yao vizuri sana hao wajasiriaimaniMc Mshereheshaji ndio maana Hananja alistaafu uchungaji sasa ni Mc umemuona Pilipili ni Mc Masanja ni Mc Nwamposa ni Mc sio Nabii sio Mchungaji sio Mtume hayo majina ni kivumishi tu Ila ni Mc km Gala B ni Mc km Mpoki ni Mc km Dokta Cheni ni Mc km Zipompa ni Mc km Bi Mwenda
Kuita watu na kuwajaza ni kuendesha sherehe yake yeye ya kila siku kufuatia Maokoto zaidi maana hakuna Mc anaefanya shughuli bure Mc yule anapokea Maokoto kila anaposimama kuzungumza kuanzia alipokua na Spika 1 pale Sinza Bar 1 na Maiki yake akipiga kelele akilitaja Jina la Yesu wenye Pesa wakamuona wakawekeza Pesa kwake aendelee na uMC wake kwa hio Ile ni Biashara km Biashara zingine shtuka
Ushaelewa?
Haya tema hilo bibo sasa tupe nondo michezo ipi hio unayoijua wanaifanyanafahamu michezo yao vizuri sana hao wajasiriaimani
tukutane kesho kwenye kusanyiko la 'nabii'Haya tema hilo bibo sasa tupe nondo michezo ipi hio unayoijua wanaifanya
Unatema bungo au siotukutane kesho kwenye kusanyiko la 'nabii'
utaniona nimevaa nguo ya zambarau
ukitoka arusha, iringa, singida, mtwara, dodoma, kilimanjaro, lindi, tanga au zanzibar asubuhi, si unapitiliza mojakwamoja kwenye mkesha na asubuhi unapanda gari tena unarudi ulikotoka au?I think ni kabla ya mkesha inakuwaje?

Pambafu kabisa popote alipo tapeli huyuAcha uongo wewe mfiadini
Umenikumbusha zamani tulikuwa tunalala stendi ya basiYakiwa yamesalia masaa kadhaa kufika kwenye mkesha mkubwa wa CHAKO LAZIMA KIWE CHAKKO.
Kila ninapouliza sehemu ya kulala naambiwa imejaa nijaribu sehemu nyingine.
Sijajua huo mkesha utakuwa na watu wengi kiasi gani ila wageni ni wengi sana hapa Dar es Salaam.
#Ngoja tuone hiyo kesho.
Aje aone kama guest zimejaa auNjoo uone
Huyu Mzee Comedian sana aisee
Nipo kwenye daladalaTueleze wewe uliye shuhudia.