Dar: Unaambiwa karibu guest zote zimejaa ujio wa Mkesha wa Mwamposa

Dar: Unaambiwa karibu guest zote zimejaa ujio wa Mkesha wa Mwamposa

Wapo wajinga watakwenda, na wengine wanasoma hii posti yangu

1720116445575.png
1720116419547.png
 
Yakiwa yamesalia masaa kadhaa kufika kwenye mkesha mkubwa wa CHAKO LAZIMA KIWE CHAKKO.

Kila ninapouliza sehemu ya kulala naambiwa imejaa nijaribu sehemu nyingine.

Sijajua huo mkesha utakuwa na watu wengi kiasi gani ila wageni ni wengi sana hapa Dar es Salaam.

#Ngoja tuone hiyo kesho.
Kama ni mkesha guest house za kazi gani
 
Kwa waliowahi kwenda, hivi ni kweli watu wanapona? Natamani siku niende nishuhudie maana huwa najiuliza sana lile nyomi wanafata kitu gani hasa ni hiyo miujiza tunayoaminishwa ama kuna lingine.
 
Yakiwa yamesalia masaa kadhaa kufika kwenye mkesha mkubwa wa CHAKO LAZIMA KIWE CHAKKO.

Kila ninapouliza sehemu ya kulala naambiwa imejaa nijaribu sehemu nyingine.

Sijajua huo mkesha utakuwa na watu wengi kiasi gani ila wageni ni wengi sana hapa Dar es Salaam.

#Ngoja tuone hiyo kesho.
watu ni wengi sana nadhani kama hujafika njoo
 
Kwa waliowahi kwenda, hivi ni kweli watu wanapona? Natamani siku niende nishuhudie maana huwa najiuliza sana lile nyomi wanafata kitu gani hasa ni hiyo miujiza tunayoaminishwa ama kuna lingine.
Tunapona sana tu
 
Ndio inalipa humuoni Jamaa alianza na Spika 1 pale Sinza walevi wakampa mtaji wakamwamisha na eneo leo ana Spika 100, una lingine la kuniambia Wewe Masikini
Mungu akisema kukubariki anakubariki sana
 
Ila Mwamposa ameiheshimisha sana Kawe wale wazee wa kula tunda kimasihara wanamuombea Mtumishi asije akaondoka eneo hilo.

Kuna siku niliona taarifa ya habari EATV imeripotiwa kutoka Kawe Mzimuni Kuna vijana wawili wamekodi chumba unaambiwa humo ndani wanavusha sana vidada vya Mwamposa basi kesi ishafika mpaka serikali za mtaa jamaa wameambiwa wahame, Kuna jirani mmoja anahadithia kwamba vidada vikiingiaga humo vinapiga mayowe sana mpaka kero hawajui humo ndani hao vijana wanawafanyia nini anadai Kuna siku binti mmoja alitoka humo chumbn akiwa na chupi tu huku akikimbia kama mwehu ila kilichonishangaza wale vijana waligoma kuhama mpaka mwenye nyumba kawatoleq vyombo vyao nje na wanasema watamshtaki mwenye nyumba
Daaah ila sio hawa wanaomtafuta Yesu mchana na Usiku
 
Tanzania hii ukifa maskin ni umeamua tu kwa uzembe wako. Kama tapeli huyu anaweza kupata ubilionea kwa staili hii , je wewe ni nani usiukwae ubilionea.
 
Mc Mshereheshaji ndio maana Hananja alistaafu uchungaji sasa ni Mc umemuona Pilipili ni Mc Masanja ni Mc Nwamposa ni Mc sio Nabii sio Mchungaji sio Mtume hayo majina ni kivumishi tu Ila ni Mc km Gala B ni Mc km Mpoki ni Mc km Dokta Cheni ni Mc km Zipompa ni Mc km Bi Mwenda

Kuita watu na kuwajaza ni kuendesha sherehe yake yeye ya kila siku kufuatia Maokoto zaidi maana hakuna Mc anaefanya shughuli bure Mc yule anapokea Maokoto kila anaposimama kuzungumza kuanzia alipokua na Spika 1 pale Sinza Bar 1 na Maiki yake akipiga kelele akilitaja Jina la Yesu wenye Pesa wakamuona wakawekeza Pesa kwake aendelee na uMC wake kwa hio Ile ni Biashara km Biashara zingine shtuka

Ushaelewa?
Mungu akusaidie na wewe ufike
 
Tanzania hii ukifa maskin ni umeamua tu kwa uzembe wako. Kama tapeli huyu anaweza kupata ubilionea kwa staili hii , je wewe ni nani usiukwae ubilionea.
Hebu jaribu na wewe ndg yangu
 
Back
Top Bottom