Dar: Unaambiwa karibu guest zote zimejaa ujio wa Mkesha wa Mwamposa

Hakuna kukosa na lazima nijibiwe na Mungu wangu
 
Hakuna kukosa na lazima nijibiwe na Mungu wangu
Nenda ukauziwe Maneno uzuri unajitambua unasema "lazima ujibiwe na Mungu" sio "lazima ujibiwe na Mwoposa" sasa cha ajabu baada ya kumwomba Mungu Wewe km Wewe unakimbilia kwenda kuombewa na Mwoposa hivi kuna Mungu Fala kiasi hicho na Mwoposa ataombewa na nani? Yaan Mungu anapokea maombi yako Wewe km Wewe sasa inamaanisha Wewe huna uwezo wa kujiombea mpaka ukimbilie kwa Mwoposa? Means Mwoposa ni mbadala wa Mungu kwako yaan akitoka Mwoposa anakuja Mungu? Umemuona Mungu Fala si ndio?
 
Majizo hapo ndio anapata pesa maana sound zake ndizo zinatumika sasa! Mjini mipango
 
wewe ndio unishtue mimi sasa? unahisi sifahamu kuwa hao kina mwambosa ni matapeli tu? nafahamu michezo yao vizuri sana hao wajasiriaimani
 
I think ni kabla ya mkesha inakuwaje?
ukitoka arusha, iringa, singida, mtwara, dodoma, kilimanjaro, lindi, tanga au zanzibar asubuhi, si unapitiliza mojakwamoja kwenye mkesha na asubuhi unapanda gari tena unarudi ulikotoka au?

maombi si pamoja na kujinyima ndrugu zango? walau hiyo pesa ya guest house ukatoe sadaka huko kwa mkesha
 
Umenikumbusha zamani tulikuwa tunalala stendi ya basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…