Dar: Unaambiwa karibu guest zote zimejaa ujio wa Mkesha wa Mwamposa

Kama ni mkesha guest house za kazi gani
 
Kwa waliowahi kwenda, hivi ni kweli watu wanapona? Natamani siku niende nishuhudie maana huwa najiuliza sana lile nyomi wanafata kitu gani hasa ni hiyo miujiza tunayoaminishwa ama kuna lingine.
 
watu ni wengi sana nadhani kama hujafika njoo
 
Kwa waliowahi kwenda, hivi ni kweli watu wanapona? Natamani siku niende nishuhudie maana huwa najiuliza sana lile nyomi wanafata kitu gani hasa ni hiyo miujiza tunayoaminishwa ama kuna lingine.
Tunapona sana tu
 
Ndio inalipa humuoni Jamaa alianza na Spika 1 pale Sinza walevi wakampa mtaji wakamwamisha na eneo leo ana Spika 100, una lingine la kuniambia Wewe Masikini
Mungu akisema kukubariki anakubariki sana
 
Daaah ila sio hawa wanaomtafuta Yesu mchana na Usiku
 
Tanzania hii ukifa maskin ni umeamua tu kwa uzembe wako. Kama tapeli huyu anaweza kupata ubilionea kwa staili hii , je wewe ni nani usiukwae ubilionea.
 
Mungu akusaidie na wewe ufike
 
Tanzania hii ukifa maskin ni umeamua tu kwa uzembe wako. Kama tapeli huyu anaweza kupata ubilionea kwa staili hii , je wewe ni nani usiukwae ubilionea.
Hebu jaribu na wewe ndg yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…