Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana.
====
Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha uongozi wake.
Wamesema hayo wakati walipokuwa wanazungumza na waandishi wa habari jana Februari 3, 2025 na kuongeza kuwa maombi hayo yatafanyika 22, Februari 2025 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Nasubiri kwa hamu nione Maaskofu/Mapadre wa Katoliki na elimu yao ya falsafa na teolojia kama nao wapo kwenye huo mkumbo. Kwa Masheikh wa Bakwata, Maaskofu wa KKKT, Manabii na mitume uchwara; no comment.
Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana.
====
Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha uongozi wake.
Wamesema hayo wakati walipokuwa wanazungumza na waandishi wa habari leo Februari 3, 2025 na kuongeza kuwa maombi hayo yatafanyika 22, Februari 2025 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana.
====
Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha uongozi wake.
Wamesema hayo wakati walipokuwa wanazungumza na waandishi wa habari leo Februari 3, 2025 na kuongeza kuwa maombi hayo yatafanyika 22, Februari 2025 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. View attachment 3224600

Hebu acheni unafiki, msijihusishe na mtu ombeni kusudi la Mungu lisimame, Mungu ndio achague mwenyewe shwain. Mungu ndiye atupatue kwa hiyo mtaka kumlazimisha Mungu afanye mtakavyo? Au mmepewa helaaa? Yaan watumishi gani ninyi? Hamjua kuhusu habari za Sauli? Walimlazimisha Mungu akawapa mtu aliyekuwa mwiba kwao. Nyie ombeni Mungu aachilie mtu atakaeiongoza Tanzania na watu kumfurahia. Hamkuweka ulinzi wakati wa Magufuli hadi akaondoka, na mlioe gharama hiyooo. Sina chama ila nataka kusudi la Mungu ndio lisimame, siombei mtu mimi naomba mapenzi ya Mungu yasimame
Hebu acheni unafiki, msijihusishe na mtu ombeni kusudi la Mungu lisimame, Mungu ndio achague mwenyewe shwain. Mungu ndiye atupatue kwa hiyo mtaka kumlazimisha Mungu afanye mtakavyo? Au mmepewa helaaa?
Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana.
====
Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha uongozi wake.
Wamesema hayo wakati walipokuwa wanazungumza na waandishi wa habari jana Februari 3, 2025 na kuongeza kuwa maombi hayo yatafanyika 22, Februari 2025 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. View attachment 3224600
Hebu acheni unafiki, msijihusishe na mtu ombeni kusudi la Mungu lisimame, Mungu ndio achague mwenyewe shwain. Mungu ndiye atupatue kwa hiyo mtaka kumlazimisha Mungu afanye mtakavyo? Au mmepewa helaaa? Yaan watumishi gani ninyi? Hamjua kuhusu habari za Sauli? Walimlazimisha Mungu akawapa mtu aliyekuwa mwiba kwao. Nyie ombeni Mungu aachilie mtu atakaeiongoza Tanzania na watu kumfurahia. Hamkuweka ulinzi wakati wa Magufuli hadi akaondoka, na mlioe gharama hiyooo. Sina chama ila nataka kusudi la Mungu ndio lisimame, siombei mtu mimi naomba mapenzi ya Mungu yasimame
Iwe masheikh au wachungaji au mapadri au mitume na manabi watakaoomba maombi hayo ni wapuuzi na hawapaswi kulitaja jina la Mungu katika upuuzi wao. Wasimuhusishe Mungu kwenye siasa uchwara zao, na Mungu hahusiki na hayupo pamoja nao wanajeendea tu wenyewe wakifuata mawazo yao. Wanakufuru na kujitakia laana
Mungu atende haki kwa damu ya Mzee Kibao na wengine wengi walikuwa wa, kutekwa, kuteswa na kupotezwa nchini chini ya utawala wa huyu dhalimu wanayeenda kumuombea.
Mungu aliye hakimu wa haki, acha ajidhihirishe ukuu wake na mamlaka yake na utukufu wake siku hiyo, kwamba yeye ni MTAKATIFU sana na haambatani na uovu.