Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kawa Mungu tena? Kapanda cheo mpàka juu.Zumaridi sio mtumie ni Mungu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawa Mungu tena? Kapanda cheo mpàka juu.Zumaridi sio mtumie ni Mungu!!!
Mama analindwa na majini. Siyo wa mchezo mchezo 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Mungu atende haki kwa damu ya Mzee Kibao na wengine wengi walikuwa wa, kutekwa, kuteswa na kupotezwa nchini chini ya utawala wa huyu dhalimu wanayeenda kumuombea.
Mungu aliye hakimu wa haki, acha ajidhihirishe ukuu wake na mamlaka yake na utukufu wake siku hiyo, kwamba yeye ni MTAKATIFU sana na haambatani na uovu.
Kwani Mungu si wapo wengi mzee au wewe wamjua yupi?Allah pekee?!!!Kawa Mungu tena? Kapanda cheo mpàka juu.
UmenenaIwe masheikh au wachungaji au mapadri au mitume na manabi watakaoomba maombi hayo ni wapuuzi na hawapaswi kulitaja jina la Mungu katika upuuzi wao. Wasimuhusishe Mungu kwenye siasa uchwara zao, na Mungu hahusiki na hayupo pamoja nao wanajeendea tu wenyewe wakifuata mawazo yao. Wanakufuru na kujitakia laana
Sikumbuki mara ya mwisho kusikia Japan, Russia, Norway, China au Singapore wakifanya "maombi" na bado wako mbele sana kiuchumi. Ni vyema sasa hawa "watumishi" watafute kujua hizo nchi wanaomba kwa nani hasa!Wakuu,
Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana.
====
Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha uongozi wake.
Wamesema hayo wakati walipokuwa wanazungumza na waandishi wa habari jana Februari 3, 2025 na kuongeza kuwa maombi hayo yatafanyika 22, Februari 2025 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
View attachment 3224600