Wakuu,
Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana.
====
Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha uongozi wake.
Wamesema hayo wakati walipokuwa wanazungumza na waandishi wa habari jana Februari 3, 2025 na kuongeza kuwa maombi hayo yatafanyika 22, Februari 2025 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
View attachment 3224600