Pre GE2025 Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mama analindwa na majini. Siyo wa mchezo mchezo 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

 
Umenena
 
Sema kuwa kutakuwa na maombi ya kumwombea mtu atangazwe hata kama hatashinda, yatakayoendeshwa na matapeli wanaotumia dini kutimiza azma zao chafu.

Viongozi wa kweli wa dini, wataombea uchaguzi uwe wa haki na amani, na mwenye dhamira chafu kama vile kuiba kura, kuwahonga wapiga kura au kutumia vyombo vya dola kupokonya haki ya wapiga kura, mkono mrefu wa Mungu umfikie.
 
Kiukweli nyumbu wako kwenye mateso sana. Mpaka anaondoka huyu mama, mbona nyumbu waipata fresh....
 
Sikumbuki mara ya mwisho kusikia Japan, Russia, Norway, China au Singapore wakifanya "maombi" na bado wako mbele sana kiuchumi. Ni vyema sasa hawa "watumishi" watafute kujua hizo nchi wanaomba kwa nani hasa!
 
Maigizo tu hayo, hakuna MAOMBI yoyote yaliyowahi kufanya chochote....
 
Hao sio kwamba wanapanga au wanaamua wenyewe bali wanashawishiwa au wanatumwa kufanya hivyo na mwisho wa siku wanapewa bahasha nono nono kwa maigizo Yao hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…