Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Majina yaliyoandikwa kwenye hiyo karatasi, hakuna mwandiko uliojirudia. Inawezekana mojawapo ya mambo mawili limetokea; ama Kassim Mshamu alisaini halafu akaondoka ukumbini, au kuna mtu asiyekuwa mjumbe alikuwamo ukumbini kinyume cha taratibu akasaini jina hilo huku akijua Kassimu hayupo.

 
Mzee Kinana,Nape January Makamba...sio washamba hata kidogo.
 
Huyo unaemzungumzia yupo nje ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanaweza kufanya hivi hawatashindwa kubadili katiba ili jitu lile liendelee kukaa pale mahali patakatifu. Hakuna kingine ninachokuombea jiwe zaidi ya kifo cha ghafla.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moko mmoja wa CCM akijibu tuhuma mnitag naenda kuchukua popcorn na maji3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…