Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Ninaamini, mikutano ni ya salama na amani zaidi bila ya uwepo wa Polisi. Polisi kwenye mikutano wamekuwa ni sehemu ya uharibifu wa amani.
 

Mbona hao polisi hatuwaoni masokoni, kwenye nyumba za ibada, au maofisini, ili tujue wana ulazima wakuwepo kwenye mikusanyiko?
 
Wanawalinda ccm

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sisi tunafikiria kuondoa meya,Harafu Kuna watu wanajifanya hawajui kama ccm ni laana ya nchi hii
 
Nchi itayumba.

Kailima na Mwigulu pamoja na unyama wote walioufanya bado wakapewa vyeo , japo Mwigulu kapigwa chini lakini Kailima pamoja na madudu yote ya Tume ya uchaguzi kateuliwa Katibu wa Wizara !
 
Sisi tunaendelea kusifia Terminal 3 kwa kufunga mataa ya kichina ! hakika dunia ishatuacha kabisa !
 
Picha ile imetupa picha moja kubwa muhimu.BARAZA LA MADIWANI inapofika hatua ya kupigania maslahi ya vikundi au vyama (sio wananchi), hugeuka na kuwa GENGE LA WAHUNI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahuni ni maccm,ndio waanzilishi wa huo mtafaruku,na imeshakuwa ni kawaida yao,kwa hiyo ni bora tuwaseme wazi bila kuficha,wahuni maccm na hako kakurugenzi ka jiji,ndiko kalikotengeneza mpango wa kufoji jina la mjumbe ambae hakuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwa madiwani wa Dar es Salaam tu, hii iwe ni kwa nchi nzima na kwa watu wote. Kwa mfano afisa mtendaji wa kata au mtaa akikimbia ofisi ili fomu za wagombea zisipokelewe,wananchi wenyewe wamshughulikie. Tuache kulea uhuni wa kishamba! Kama mtu hawezi siasa za ushindani na utawala wa sheria basi aende Burigi huko kuchunga mbuzi. Tunaleteana u-primitivity wa karne ya 12 leo!
 
Kitendo Cha kupigana tu,ni kosa kisheria na mojawapo ya wajibu wa Askari Polisi ama vyombo vya ulinzi ni kusimamia na kuhakikisha sheria za Nchi zinafuatwa, ushauri ni kwamba endapo wakina Jacob,Mwita Issaya,&co wanataka ugomvi tuwapatie Visa waende huko Iran wakapigane.
 
Wachadema wangechakazwa sana ,na isingekua busara hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…