Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Mkuu umeongea vizuri. Ila ukumbuke hao wanaoshabikia ugomvi ni nyumbu. Wanafikiri wana akili sana. Wana nguvu sana. Lakini ipo siku watashughulikiwa kama aliyewahi kuwa Office mate wangu Mawazo. Wakumbuke siku hiyo hakukuwa na Polisi wa kuingilia!!!
 
Wacha tuzidunde kwenye vikao vyetu hata bungeni
 
View attachment 1319578
Kailima na Mwigulu pamoja na unyama wote walioufanya bado wakapewa vyeo , japo Mwigulu kapigwa chini lakini Kailima pamoja na madudu yote ya Tume ya uchaguzi kateuliwa Katibu wa Wizara !
Yaani ukiwaangalia tuu unagundua mpaka wanaingia Chuo kikuu walikuwa bonge LA washamba. Unategemea nini watu wa aina hiyo ukiwapa madaraka ghafla?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kachukue buku zako 7 pale lumumba na Ungeweka na nambari yako ya simu ili uteuliwe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…