Umeandika nini hapa mbona sielewi? Andika Kiswahili tu dada lugha ya mabeberu ngumu dada!I'm boss the of my self.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika nini hapa mbona sielewi? Andika Kiswahili tu dada lugha ya mabeberu ngumu dada!I'm boss the of my self.
Mtanyooka tu na propaganda zenu!Kila siku nasema hapa, ukishakuwa mwana CCM lazima uwe MPUMBAVU.
Endelea kutegesha umiminywe weee mpaka fahamu zikikurudia hapo Lumumba umeshaoza.. lofa wee.Mtanyooka tu na propaganda zenu!
wanaccm wote wenye aibu wamejificha kwenye mitaro ya maji taka , umebaki wewe tu .Kwa nini wasikupandishe wewe?
Wewe huna ubavu huo!Endelea kutegesha umimimywe weee mpaka fahamu zikikurudia hapo Lumumba umeshaoza.. lofa wee.
Nyinyi ni watu wakutengeneza propaganda za kisiasa tunawajua! Mtaendelea kulialia mpaka mwisho wa dunia!!wanaccm wote wenye aibu wamejificha kwenye mitaro ya maji taka , umebaki wewe tu .
video iko hapo juuNyinyi ni watu wakutengeneza propaganda za kisiasa tunawajua! Mtaendelea kulialia mpaka mwisho wa dunia!!
Tanzania ya viwanda vya uongo.
Nasikia Meya amepigwa chini hata gari hana tena. Vipi ni kweli dada?video iko hapo juu
Mkuu hilo chizi la Lumumba halina mshipa wa aibu, wenzake wote wamejificha kwenye hii issue lakini yee yupo hapa kajianika mtupu wala hajioni.wanaccm wote wenye aibu wamejificha kwenye mitaro ya maji taka , umebaki wewe tu .
Mtanyooka tu! Meya ameshapigwa chini hata gari hana na ofc haruhusiwi kuingia. Propaganda zenu huku JF hazifui dafu nendeni mkamchangie pesa za kuishi jijini sasa. Hata kwa Lissu ilikuwa hivi hivi eti hawawezi kumfukuza akapigwa chini na sasa ni kimyaa!!Mkuu hilo chizi la Lumumba halina mshipa wa aibu, wenzake wote wamejificha kwenye hii issue lakini yee yupo hapa kajianika mtupu wala hajioni.
MOVIE ZA BASHITE ZIMEJAA UJINGA MTUPU...OVYOO KABISAAmedhalilika mchana kweupe. Hii ni baada ya kufoji jina ili apate akidi ya kutosha kumuondoa Meya halali Mh Isaya Mwita ili kuisaidia CCM kwa maelekezo ya Makonda.
View attachment 1317369
View attachment 1317357
Shetani hana rafikiMtanyooka tu! Meya ameshapigwa chini hata gari hana na ofc haruhusiwi kuingia. Propaganda zenu huku JF hazifui dafu nendeni mkamchangie pesa za kuishi jijini sasa. Hata kwa Lissu ilikuwa hivi hivi eti hawawezi kumfukuza akapigwa chini na sasa ni kimyaa!!