Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

Status
Not open for further replies.
Press hata Slaa na washenzi wengine wote wa aina yao walikwishafanya, So Wafanye tu
 
Hivi mbona kila mpango unaoandaliwa na CCM huwa unagonga ukuta na mwisho wanalazimisha ushindi kwa mabavu?

Ni upungufu wa watu wenye akili au ina viongozi wasio akili na wanawalazimisha wenye akili kufuata yao?
Shetani hajawahi kufanikiwa mbele ya Mungu aliyehai.
 
Sawa!
Ila wake na Ushahidi wa kuridhisha Akili za wazima na wafu
 

Lazima aongee ili kutuliza mioyo ya wafuasi. Hata uongozi wa juu unaelewa hilo
 
Yatafichuka maovu mengi sana ya chadema mauaji na mipango yote ya hila manake mdee aliaminika sana ni wazi pia alishirikishwa mengi
Wewe ni wala wa shetani Jiwe!Kati ya CHADEMA na Baba yako Jiwe nani anapanga mauaji?
 
Sky Eclat huyo kamanda sijamsikia akisema lolote tangu sakata hili lianze au na yeye ni miongoni mwa COVID -19?
 
Mke wako angekuwa kwenye Ile list I'm sure ungemuunga mkono tu,

Hakuna anguko lolote, Tena bora wao watapata forum ya kuongea kuliko hao wakina Mbowe ambao watakaa miaka mitano kimya kabisa
 
Hivi mbona kila mpango unaoandaliwa na CCM huwa unagonga ukuta na mwisho wanalazimisha ushindi kwa mabavu?

Ni upungufu wa watu wenye akili au ina viongozi wasio akili na wanawalazimisha wenye akili kufuata yao?
Uwezo wao kufikiri mdogo sana
 
Hata Kama umetunga ungejaribu kuandika point za maana basi
Hizo point za kijinga ndio ccm imwandalie mdee
Mbona hiZo point NI za wale watu wanaosutana
 
Hizo ni hoja dhaifu kabisa!
 
*Wataenda mahakamani kupinga maamuzi ya kamati kuu
Hili angalau litawasaidia kidogo kuvuta muda ili waendelee kuwa wabunge wakisubiria kesi. Hili la kuongea na vyombo vya habari ni kupoteza muda tu. Chadema wamesema wamewafukuza uanachama, sasa Press itawasaidia nini??
 
Ukurasa wa covid19 umeshafungwa tumehamia zenji kwa Seif tuone naye kama atachukua maamuzi magumu kuhusu serikali ya umoja.
Ukweli kabisa mdau wacha tuhamie visiwani, Bara Kazi imeisha zingine zitabaki kelele tu, ila Chadema wamekaza hawataki ujinga kongole kwao.
 
Mnajua mlichokifanya na hayo na majibu Yake, mtafaruku viti maalum ulitokea baada ya kila kigogo wakiongozwa na Mbowe kuleta mahawara ndo maana mkachelewa kupeleka majina. Mnyika alivyopeleka majina Mbowe akayakataa Sasa mnajihami maana mnajua ambacho Halima atasema mnaamua kusingizia CCM.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Wanapoteza muda wao tu, hakuna wa kuwasikiliza

Hata waseme Mbowe aliwaruhusu au Mnyika alisaini haisaiidii maana majina yao hayajawahi kupitishwa na kamati kuu

Wangekuja kikaoni wakayaleza yote hayo, lakini wote wameandika barua inayofanana neno kwa neno ili kukimbia kikao cha kamati kuu, hii maana yake wanajua wamekosea!
 
Safari Ya CHADEMA Kama mtumbwi unaoanza Kutoboka Matundu na IPO katikati ya Bahari.

Mdee na mwenzio. wameona Kabisa Maji Yanaingia Ndani Mtumbwi na Hakuna Msaada wala vifaa vya kuziba hayo matundu (ruzuku) Kwa mbali wanaona kuna Mtumbwi unakuja.

Wanajadiliana na wenzao Kuwa ule Mtumbwi unaokuja unaweza kuwa msaada kwetu manaonaje Sisi Twende ile tukalete msaada WANAUME Wanagoma .πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

WADADA wanasema msitutanie Nyie Wanarukia kwenye Mtumbwi iliwapate Msaada na kuokoa Maisha yao na Hawa WANAUME wanasifiwa kuwa wanamsimamo Tukumbuke Mtumbwi ushatoboka na maji yaaningia kwa kasi Je Watafika ufukweni Au ndio watakufa KIUME.

Huwezi Kuendesha Chama Bila Ruzuku Kufikiria Kwamba CHADEMA ITAHIMILI HI MIKIMIKI NI UWONGO

R.I.P CHADEMA ...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…