ALERT
[emoji117] CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
- Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
- Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
- Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
- Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
- Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa
HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA