Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

Status
Not open for further replies.
Fuatiia mwenyewe CCM ndiyo waikuwa wanatoa madai hayo fuatiia kampeni za marudia Ukonga Waitara aikuwa anasema nini
 
ALERT
👉 CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
  • Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
  • Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
  • Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
  • Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
  • Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
  • Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
  • Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa

HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
SIMUMEWAFUKUZA KWA MBWEMBWE NA VIFIJO, SASA YA NINI KUWEWESEKA NA KUWAFUATILIA HAO MASHUJA?? TULIENI WAWAPE ZA USOOO.
 
Za uso wamepewa wao imetoka hiyo. Wakiende Mahakamani ndiyo baya zaidi wamuuize Zitto aiishindwa huko.
 
Muandaaji nadhani atakuwa ni yule yule aliyewaandalia wale waliokimbilia nccr
 
Hivi Chadema kwanini wanapenda kunyanyasa wanawake? Why? Inaniuma sana kuona wanawake wananyanyaswa kiasi hiki.
 
Wamenyanyaswa kwa kipi? dada uifuatia Press ya Mbowe jana, Kawe kwa Mdee wamekufa watu wawiii, Tarime watano, wafuasi kibao wako ndani kwa kesi mbaya, Kweii unaona kuna Upendo hapo, watu wamewapigania , wanateswa, wameumizwa wewe kwa ubinafsi wako unakwenda KUAPA.Huoni huo ni unyama umepita kiasi ?
 
Mdee kajichora sana kiukweli. Kwa atakuwa na aibu sana hata akienda CCM.
Atakuwepo tuu CCM ila roho itakuwa inamuuma sana.
 
ALERT
[emoji117] CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
  • Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
  • Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
  • Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
  • Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
  • Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
  • Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
  • Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa

HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
Atakuwa mpumbavu sana kupinga uharamu kwa kutumia uharamu. Hayo angefanya kabla ya kuapa
 
Halima akitaka usalama asimame na Chadema dhidi waliomdanganya. Aombe radhi na atadumu kisiasa short of that amejimaliza akatafute tu uwakili na awe kimya kabisa
 
Busara za kawaida zinamtaka Mdee na genge lake kwa sasa wachutame wasubiri muda kidogo upite then wawaombe msamaha Chadema na Watanzania kwa ujumla kwa ujinga na upuuzi waliofanyishwa na Job.

Otherwise-wategemee anguko kubwa sana na la fedheha mbele yao. By the way-Job na genge lake wanawatumia kwa sasa baadae kidogo watawatelekeza kwa fedheha sana.

God bless the dead.
Shetani aliyewadanganya hatataka waombe radhi maana aibu itamvaa yeye. Lakini wasione aibu kuomba msamaha
 
Busara za kawaida zinamtaka Mdee na genge lake kwa sasa wachutame wasubiri muda kidogo upite then wawaombe msamaha Chadema na Watanzania kwa ujumla kwa ujinga na upuuzi waliofanyishwa na Job.

Otherwise-wategemee anguko kubwa sana na la fedheha mbele yao. By the way-Job na genge lake wanawatumia kwa sasa baadae kidogo watawatelekeza kwa fedheha sana.

God bless the dead.
Anguko gani tofauti na like ambalo tayari walikuwa wamelipata wakiwa hukohuko CDM?
 
Ukurasa wa covid19 umeshafungwa tumehamia zenji kwa Seif tuone naye kama atachukua maamuzi magumu kuhusu serikali ya umoja.

Chadema haina kulemba wala sanaa Halima, Bulaya et al tumeshawapa gwanda kama kiinua mgongo chao na kingine watapewa na Ndugai then watajua wamrithishe nani lakini CDM waione kama zipu ya mkwe, hatukupata taabu kww Slaa, Lowwssa, Sumaye,Zitto, Mkumbo sembuse kinyago cha mpembule?
 
Ni kweli ilipofikia CDM hata CCM hakuamini. CCM 2020 inatembea na Kura zilizopigwa kwenye mabegi? Hawaamini tena kama wanaweza kushinda kihalali.! Ni wazi hata vijijini CDM imshapenya. Halima umefanya kazi kubwa lakini umeshindwa kuvumilia. Nenda.
Word
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom