Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

Status
Not open for further replies.
ALERT
[emoji117] CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
  • Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
  • Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
  • Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
  • Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
  • Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
  • Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
  • Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa

HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
Mku hata Mashinji na Dr Slaa waliandaliwa press ss kama ccm tulifaidika na nini
 
ALERT
👉 CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
  • Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
  • Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
  • Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
  • Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
  • Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
  • Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
  • Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa

HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
Dogo acha lamri chonganishi!!
 
Naona huku kuitana corona(covid 19) kuna trend,ninakimbusha tu kuwa Polepole ndio aliyeanzisha japo hakueleweka wakati huo.
 
Busara za kawaida zinamtaka Mdee na genge lake kwa sasa wachutame wasubiri muda kidogo upite then wawaombe msamaha Chadema na Watanzania kwa ujumla kwa ujinga na upuuzi waliofanyishwa na Job.

Otherwise-wategemee anguko kubwa sana na la fedheha mbele yao. By the way-Job na genge lake wanawatumia kwa sasa baadae kidogo watawatelekeza kwa fedheha sana.

God bless the dead.
kwa sasa hawa watu ni wa kuwaonea huruma tu. kama ndugu zao au hata Chadema wenye mawasiliano nao wasaidie kuwaokoa. maana ni kama mateka wanaelekezwa tu nini cha kufanya
 
Ukitoka chadema unaacha akili[emoji2960]
imetokea kwa covid-19
 
Usikute documents za fomu ya majina ya wabunge hawa wa VM waliandaa na kupeleka Mr Hai na KM, ila kwa mihuri na sahihi feki kama sehemu ya kujihami kwa kile ambacho obviously kingetegemewa kutokea baadaye. At the same time, baadhi ya hawa key people kama HM na EB etal, walijua fika hii "CHADRAMA" inavyochezwa. Ndiyo maana hakuna mwenye wasiwasi, hasira wala kupaniki -- pande zote mbili kwa viongozi hawa. Wanachama tu wasiojua kinachoendelea ndio wanaohaha. Basic filosofi hapa ni kwamba: BUNGENI LAZIMA TUINGIE, LAKINI BILA KUWACHUKIZA WANACHAMA & WAHISANI.
 
Busara za kawaida zinamtaka Mdee na genge lake kwa sasa wachutame wasubiri muda kidogo upite then wawaombe msamaha Chadema na Watanzania kwa ujumla kwa ujinga na upuuzi waliofanyishwa na Job.

Otherwise-wategemee anguko kubwa sana na la fedheha mbele yao. By the way-Job na genge lake wanawatumia kwa sasa baadae kidogo watawatelekeza kwa fedheha sana.

God bless the dead.
Let's Pray and May God Bless us!
 
ALERT
👉 CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
  • Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
  • Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
  • Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
  • Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
  • Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
  • Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
  • Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa

HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
Tutafurahi kuwasikia ili tujue ni Kwa namna gani wamefanywa Kama mifuko ya rambo
 
ALERT
[emoji117] CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
  • Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
  • Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
  • Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
  • Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
  • Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
  • Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
  • Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa

HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
Mabilioni ya huyu mwamba yamewatoa akili CCM kabisaaaaa
JamiiForums-1118839366.jpg
 
Hivi mbona kila mpango unaoandaliwa na CCM huwa unagonga ukuta na mwisho wanalazimisha ushindi kwa mabavu?

Ni upungufu wa watu wenye akili au ina viongozi wasio akili na wanawalazimisha wenye akili kufuata yao?

Ile siku tutambua kuwa CCM wako vizuri kwa strategies na politicsl analysis ndio siku tutaanza kuwa shinda kwenye kutengeneza matukio.

Hili linalo tokea nalilisema kitambo kabla uchaguzi mkuu haujafanyika, na sasa tunaachiwa makovu ambayo katika kufanya jitihada za kuyaponya chama kitapata athari za muda mrefu.

Na kina Mdee kubaki kuwa wabunge wa Mahakama tutapoteza pesa, muda, pamoja na kukivuruga chama.

Muda utasema mengi.
 
ALERT
[emoji117] CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
  • Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
  • Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
  • Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
  • Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
  • Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
  • Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
  • Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa

HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
2 Mambo ya Nyakati 18:19-21
[19]BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu mfalme wa Israeli, ili akwee Ramoth-gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi.
[20]Akatoka pepo, akasimama mbele za BWANA, akasema, Mimi nitamdanganya. BWANA akamwambia, Jinsi gani?
[21]Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo vinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka, ukafanye hivyo.
 
ALERT
👉 CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
  • Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
  • Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
  • Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
  • Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
  • Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
  • Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
  • Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa

HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
CDM mkiacha hiz siasa zamatukio na ngonjera mngekua mbali,mkifamanya mazuri mnasema mna taasisi imara ila mambo yakienda kombo mnasema serikali na Ccm inahusika kuwahujumu. Hiv hamuwez ku solve matatizo yenu bila kuihusisha serikali?
 
Uko sahihi. Mzee Msekwa amekwishasema kwa mujibu wa katiba akina Mdee siyo wabunge tena. Kuna watu bado wana akili zao.
Msuguano ndani ya CCM upo sana na soon utauona hadharani. Hili la kina Mdee tu huwezi kukuta mawazo ya Mangula ndani yake.
 
No 2. Yeye kama aiikuwa mwenyekiti wa bawacha asema kamati kuu iikaa ikapitisha hayo majina iini. Hakuwa na uwezo wa kuandaa iist na kupeeka tume, mwenye jukumu hioyo ni KATIBU MKUU. Swaa a mademu wa mbowe haina tija yeye mbona anaye Ester hatusemi, siyo hoja hiyo, wmeshindwa basi. Siyo mwanachama wetu tena.
 
Kwa hiyo Esther ni demu wa Halima ,yaani wanasagana?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom