Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

Status
Not open for further replies.
wamechelewa sana
 
Aisee! hii kazi ya utabiri umejifunzia kwa Sheikh Yahya au? maana unaropoka kama unaharisha
 
Kati ya hayo naamini kuna mengine ni kweli kuhusu Chadema
 
Hiki chama ni cha kishenzi pengine kuliko vyama vyote vya siasa vilivyowahi kutokea nchini. Watu wanapiga hela wengine mnabaki mnabwabwaja tu kuhalalisha upigaji!
 
Bwashee na wewe umo kwenye hiyo kamati?Mbona unawalisha CCM habari ambayo kwa asilia 100 umekwisha amua?
 
Waje tu; tusikilize hoja zao. Wamekwepa "platform" sahihi na kuchagua "a wrong platform - public". They wish to wash their dirty linen in the public. Sawa.
 
Mkuu,

1. Usifanye uamuzi wowote ukiwa na hasira au furaha sana utalijutia kosa hilo
2. Usimsimulie adui au rafiki yako udhaifu wako, siku mkikwaruzana atsema hadharani kwa wasiohusika mapungufu hayo na adui halisi atachukua mwanya huo kukutendea ubaya kwa kivuki cha mbaya wako
3. Ubinafsi wa mtu ndio kipimo pekee cha utu, uhuru na haki kutokana na uamuzi wa jambo lolote unalolifanya
4. Mtoto ana meno machache akiyatamani ya watu wazima, mtu mzima ana meno 32 na mzee mwenye meno hujitahidi kuyalinda lakini yakigundua hayaoani ha sura yake yanamponyoka bila kujijua;
5. Faraja inadumu kwa akiba ya tambo lakini ukishindwa kudhibiti hisia unaweza kukamata ndimi za moto kwa ujasiri na kubaini baadae umeungua vibaya kwa kuunguza viungo na uso vilivyokuwa vinakupa mvuto lakini hauwezi tenakurejesha maumbile halisi;

NB: Giza ilkiwa nene sana ndio nuru inakaribia kumulika
 
Bado ni wabunge hadi hapo chadema watakapomuandikia sipika barua kuwa Hawa si wanachama wetu
 
Kama chadema imekufa juhudi Kubwa unayofanya kuandika hapa jukwaani inatoka wapi?
 
Mods kwanini wanauacha huu uzi?
Threads kama hizi ndio zinashusha hadhi ya JF.
 
Pia wataenda mahakamani jumatatu kupinga kufukuzwa uanachama , ili mahakama iwarudishie uanachama ili kuendeleza mgogoro Chadema Kama ilivyopangwa na Jiwe na system uchwara .
 
Tumeshaelezwa utaratibu na mchakato wa kuwapata wabunge wa viti maalum CHADEMA. Utararatibu upo kiprinciple zaidi. Lazima kamati kuu ya chama ikae na kuthibitisha hayo majina kabla ya kupeleka tume. Hayo hayo hayakufanyika. Sasa wanataka kutuaminisha nini tena. Its now over. Hakuna kipindi cha mmomonyoko wa maadili kisiasa ambapo mambo yanaendeshwa ovyo as if hatujawahi kuwa sheria , katiba na kanuni kama kipindi hiki. Taifa limepoteza maadili kabisa. Wote tuliowaamini kama Icon wa nchi kukemea, kulaani, kuonya, kukosoa na namna mambo yalivyo ovyo hawasemi chochote. Vijana na wanasiasa wa kuijenga Tanzania ya kesho wanajifunza nini?. Tunatengeneza taifa gani baada ya haya yote?. Its a terrible moment!!!.
 
Sijapata connection hapa jomba kwa Nini umeiunganisha CCM kwenye andiko lako hili..je ni propaganda au ndio kutapatapa kwenyewe sijui..uzi huu hauna maana yoyote umeharibu Hapo tu..ukiambiwa uthibitishe utaweza jomba au utabaki unajiharishia tu...kuweni makini majomba
 
Pole, upo gizani.
 
Watabaki wabunge hadi 2025 na pia watabaki wanachama.Tayari wamebatizwa kuwa wabunge
Of course wacha watumikie wananchi..hayo ni matakwa ya katiba na nchi hii Ni ya kidemokrasia sio ya kidikteta..hata Kama wananchi waliwakataa kwenye sanduku la kura...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…