Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Mnaingia huko kuvizia nani atasema nini,shame!Likishakuwa kundi hakuna tena mawasiliano "private and personal." Serikali imo kwenye hayo makundi kwa kuomba kuunganishwa na kukubaliwa, utasemaje wameingilia mawasiliano private and personal?
Unapokuwa kwenye kundi hujui nani mwingine upo nae, na huna control juu ya nani mwingine anaingizwa, hata ungekuwa ni group admin, hauko admin peke yako. Kisheria hakuna ghafala, there is no reasonable expectation of privacy.