Dar: Wakamatwa wakifungua vyuma vya nguzo Daraja la TANZANITE

Dar: Wakamatwa wakifungua vyuma vya nguzo Daraja la TANZANITE

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili (2) waliokuwa wanajaribu kuharibu kwa kukata baadhi ya vyuma vya ngazi moja ya nguzo namba P9 ya Daraja la Tanzanite lililopo maeneo ya Salender, Ilala.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Muliro J. Muliro amesema watuhumiwa hao ambao majina yao (yamehifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi) walikamatwa tarehe 02/04/2022 saa 10 alfajiri wakiwa wanajaribu kufungua vyuma vilivyopo kwenye nguzo ijulikanayo kama P9 ambayo ipo kwenye daraja hilo. Wanahojiwa kwa kina na watafikishwa kwenye vyombo vya kisheria kwa hatua zaidi.

Pia Jeshi la Polisi limewakamata watu wengine kumi (10) waliokutwa chini ya Daraja huku wakidai wanaokota vyuma chakavu kwa ajili ya biashara ya vyuma. Watuhumiwa hao pia wanahojiwa kwa kina ili kubaini malengo yao kwa ujumla chini ya Daraja hilo yalikuwa ni nini na kuona kama wanamahusiano na wale waliokuwa wanajaibu kuiharibu baadhi ya miundombinu ya nguzo ya daraja hilo.

Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kuwa halitamvumia mtu au kikundi chochote kinachojihusisha kwa namna yoyote ile kujaribu kuharibu miundombinu ambayo imejengwa kwa manufaa ya umma, Ulinzi katika eneo hilo na maeneo mengine umeeendelea kuimarishwa na atakayejaribu kuiharibu atakamatwa na mifumo ya kisheria ya kishughulika nae itazingatiwa.
View attachment 2175387
kwahio hao watu walikua hapo chini ya maji
 
kwa sababu wakristo wako kwenye kwaresma na waislamu wako kwenye mfungo nashauri hao wezi wavuliwe suruali waingiziwe msuli wa moto kwelikweli mpaka pale majimaji meupe yatakapowalainisha makalioni kusha waambiwe mwaweza kwenda majumbani kwenu
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili (2) waliokuwa wanajaribu kuharibu kwa kukata baadhi ya vyuma vya ngazi moja ya nguzo namba P9 ya Daraja la Tanzanite lililopo maeneo ya Salender, Ilala.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Muliro J. Muliro amesema watuhumiwa hao ambao majina yao (yamehifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi) walikamatwa tarehe 02/04/2022 saa 10 alfajiri wakiwa wanajaribu kufungua vyuma vilivyopo kwenye nguzo ijulikanayo kama P9 ambayo ipo kwenye daraja hilo. Wanahojiwa kwa kina na watafikishwa kwenye vyombo vya kisheria kwa hatua zaidi.

Pia Jeshi la Polisi limewakamata watu wengine kumi (10) waliokutwa chini ya Daraja huku wakidai wanaokota vyuma chakavu kwa ajili ya biashara ya vyuma. Watuhumiwa hao pia wanahojiwa kwa kina ili kubaini malengo yao kwa ujumla chini ya Daraja hilo yalikuwa ni nini na kuona kama wanamahusiano na wale waliokuwa wanajaibu kuiharibu baadhi ya miundombinu ya nguzo ya daraja hilo.

Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kuwa halitamvumia mtu au kikundi chochote kinachojihusisha kwa namna yoyote ile kujaribu kuharibu miundombinu ambayo imejengwa kwa manufaa ya umma, Ulinzi katika eneo hilo na maeneo mengine umeeendelea kuimarishwa na atakayejaribu kuiharibu atakamatwa na mifumo ya kisheria ya kishughulika nae itazingatiwa.

Mmh kwa spana gani hizo za kuweza kufungua nguzo za hilo daraja ambalo nut zake zimepigwa moto?
 
Uhujumu uchumi unawahusu hao
Kuna tukio linajaribu kutengenezwa hapa.. Kuna boss mkubwa wa sungusungu aligaiwa umiliki kwenye kampuni ya kutengeza vyuma vya ujenzi halafu wale wenye kampuni wakapiga kibabe vyuma vya mradi wa bomba la mafuta na vile vya daraja la kigamboni.. Hii kashfa yenye kesi ya uhujumu uchumi inafanyiwa kila figisu izamishwe baharini inywe maji mengi ya chumvi lakini haifi
 
WaAfrica kuendelea sijui full kurudishana nyuma hatar sana!
 
Wajinga kama hao ndio maana China wananyonga! Sasa si kuhatarisha maisha ya watu kwa njaa

Vijana acheni uvivu.
kuna vitu tunalea tu, ila hawa majamaa unatupa chini unasema kwenye purukushani walianguka, wajinga sana wanaweza leta maafa balaa basi tu
 
Utunzaji miundombinu ya umma na ya kijamii Afrika

Ndiyo maana serikali ya mkoa Dar es Salaam na serikali kuu iendelee kutoa elimu ya "kujipanga" na pia "ujasiriliamali"

23 March 2022
Lagos, Nigeria

Lagos State Government has shut indefinitely Eko Bridge, Lagos Island over inferno that gutted some shops under the bridges at Apongbon in the early hours of Wednesday, which badly affected the bridge.

The government also issued a 48 hours notice to owners and occupants of makeshift and containerized shops under bridges across the state or face the consequences.

1649082724475.png

Permanent Secretary, Lagos State Emergency Management Authority, LASEMA, Dr Femi Oke-Osanyintolu, announced the development while reacting to the unfortunate inferno.

“The bridge has also been shut pending when integrity and Environmental Impact Assessment, EIA, is conducted on the bridge to determine the level of public safety.”
1649083043183.png

https://www.vanguardngr.com › apo...
Apongbon Fire: Lagos govt shuts Eko Bridge indefinitely

23 Mar 2022 — Lagos State Government has shut indefinitely Eko Bridge, Lagos Island over inferno that gutted some shops under the bridges at ...

23 March 2022
Lagos, Nigeria

Fire damages main Lagos bridge, dozens of shops burnt

The blaze gutted the Eko bridge. A section of the bridge at Apongbon in Ebute Ero was affected. The bridge has been physically damaged,” Ibrahim Farinloye of the National Emergency Management Agency (NEMA) told AFP.

Eko bridge is one of three flyovers linking mainland Lagos to the upscale and business districts on the islands of the city which sits between a lagoon and the Atlantic Ocean.

A fire on Wednesday badly damaged a main bridge in Nigeria’s commercial capital Lagos, razing dozens of shops and risking more traffic chaos, the emergency services and witnesses said.

Dawa yake ni kuanzisha tozo kwa wote, hata wapitao kwa miguu pia wale waendao kushangaa n.k

Hii itasaidia gharama za kawaida za ukarabati, mifumo ya ulinzi na usalama na utunzaji mazingira ya daraja

Haya ni madhara ya serikali kufikiri kuwa maendeleo ni vitu.

Serikali isipotaka kuelewa kwa maneno, wataelewa kwa vitendo.

Waliosahaulika kwenye maendeleo watazidi kuwa mwiba kwa wanaojiona wanatakiwa kuishi kama peponi huku wenzao wakiishi jehanamu.
 
Back
Top Bottom