Dar: Wakamatwa wakifungua vyuma vya nguzo Daraja la TANZANITE

Dar: Wakamatwa wakifungua vyuma vya nguzo Daraja la TANZANITE

Kama serikali haiwezi kuweka ulinzi wa polisi basi zifungwe CCTV CAMERAS ili kufuatilia activities zote zinazoendelea pale. Miundombinu yote iwe hivyo.

Kwenye sgr hasa maeneo yote yasiyo na makazi ya watu waongeze vikosi vya doria kuimarisha ulinzi wa mara kwa mara kupitia kikosi cha Polisi Reli. Bila hivyo tunaweza kuhujumiwa pasipo kujua na kuishia kulaumiana wenyewe.

Serikali imewekeza pesa nyingi sana ambazo hazitakiwi kupotea ni kodi za Watanzania.
 
Walikuwa wanaokota vyuma hao
Inabdi Sahv wahusika waondoe vyuma
Vilivyoanguka na kuzaagaa hapo

Ova
 
Walikuw
Walikuwa wanaokota vyuma hao
Inabdi Sahv wahusika waondoe vyuma
Vilivyoanguka na kuzaagaa hapo

Ova
A wanahari u kucunguabyuma kwenye jukwaa lililojengwea pembeni ya Barabala mpya Kama jukwaa/ division lakupitishia mizigo na mitambo.
 
Back
Top Bottom